The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,122
Vyombo vya Dola wilayani Hai vimefanikiwa kukamatwa kwa watu watatu kwa tuhuma za kuchoma moto bweni la kulia chakula la wanafunzi wa Madrasa lililopo ndani ya Msikiti wilayani Humo mkoani Kilimanjaro.
Bweni hilo liliungua kwa moto siku mbili zilizopita Ikiwa ni tukio la pili baada ya mabweni ya wanafunzi wa kike katika shule ya Kaloleni Islamic iliyopo Wilayani Moshi kuungua siku tatu zilizopita.
Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na Kamati ya Usalama wilaya hiyo ilifika eneo la tukio na kuvitaka vyombo vya dola kuweka nukta katika matukio hayo yanayoonekana ya kuratibiwa na kupangwa na kwamba katika wilaya hiyo litakua tukio la kwanza na la mwisho.