Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
rombo shida kubwa ni ulevi wa kupindukia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafiti uchwara ndio uliyotafiti. Hebu Lete hata kividio au voice upate hela ya chai.unataka kusema ni kama wale wa kila chama kinachofanya uchaguzi wao wa ndani wanapotezana kwa ushirikina, ramli chonganishi, kutoana kafara na kuchukuana misukule kwaajili ya kupata uongozi, huku wakisingizia wengine wasiohusika, sijui nini huko right?🐒
gentleman,Mtafiti uchwara ndio uliyotafiti. Hebu Lete hata kividio au voice upate hela ya chai.
Umenikoti ukaleta utafiti wako ulioufanya huko chadema kwamba kuna ramli,uchawi n.k. nikasema lete ushahdi japo wa voice au picha ili upate chai. Umsomi wa wapi kwanza tujuane hapo?gentleman,
unazungumzia masuala ya chai tena kwenye mambo serious ya kitaifa?
au una njaa sana?🐒
hujui kwamba kutoa siri za ufalme wa kishirikiana ndiyo hasa chanzo cha ukatili wa kutisha?Umenikoti ukaleta utafiti wako ulioufanya huko chadema kwamba kuna ramli,uchawi n.k. nikasema lete ushahdi japo wa voice au picha ili upate chai. Umsomi wa wapi kwanza tujuane hapo?
Ingekuwa kuna hayo unayoyasema kwa vile nyinyi ccm hampendi chadema inakuwa tayari ingekuwa mmeshawakamata wahusika wa hayo na kuwafungulia kesi za mauaji lakini mmeshindwa nguvu na wao ndio hizo chokochoko mnazozitoa, huko ccm viongozi mmeshawahikuwawekea sumu ili wafe miongoni mwa waliothibitisha kufanyiwa hivyo Magufuli, Mangula, Membe na wengineo, na ndio maana hata maji ya kunywa kwenye meza za ccm usiamini kuyanywa voice kutoka Kikwete.hujui kwamba kutoa siri za ufalme wa kishirikiana ndiyo hasa chanzo cha ukatili wa kutisha?
maana yake wakikutana kwa bahati mbaya huko kwa sangoma hakuna haja ya kutajana au kumuexpose mwingine kwa jamii kwa njia yoyote ile..
matokeo ya ujuaji mwingi na Kimbelembele cha kuonja sumu uliyokatazwa kwa ulimi ndiyo hayo sasa, wanasingizia wengineeeee🐒
hapa sio suala la ingekua gentleman,Ingekuwa kuna hayo unayoyasema kwa vile nyinyi ccm hampendi chadema inakuwa tayari ingekuwa mmeshawakamata wahusika wa hayo na kuwafungulia kesi za mauaji lakini mmeshindwa nguvu na wao ndio hizo chokochoko mnazozitoa, huko ccm viongozi mmeshawahikuwawekea sumu ili wafe miongoni mwa waliothibitisha kufanyiwa hivyo Magufuli, Mangula, Membe na wengineo, na ndio maana hata maji ya kunywa kwenye meza za ccm usiamini kuyanywa voice kutoka Kikwete.
Hizo hoja zako hazina utofauti na za mtoto wa chekechea!!hapa sio suala la ingekua gentleman,
huo ndio uhalisia..
vyombo vya umma havihusiki wala kuamini katika ushirikina ndani au nje ya vyama vya kisiasa, na hivyo ni muhimu wahusika wakamalizana wenyewe 🐒
sasa wa chuo kikuu umeishia hitimisho la mihemko tu dah 🤣Hizo hoja zako hazina utofauti na za mtoto wa chekechea!!
What if hao hao kijani ndio wameiba madaftari baada ya kuona Kuna dalili za kushindwa au malengo Yao kutotimia?Kati ya njia mbili: kususia kujiandikisha na kutoshiriki kupiga kura, au hii ya kupoteza nyaraka ni ipi iliyo bora katika kuwafikishia ujumbe wakoloni CCM!
Mihemko iko wapi?sasa wa chuo kikuu umeishia hitimisho la mihemko tu dah 🤣
Malaya wa kisiasa kazini.Wewe jamaa ukipata nafasi ya kuwa kwenye nafasi serikalini Kwa uchawa wako uhakikishe unaaiba haswa baada ya muda utawa na LAANA WEWE NA NDUGU ZAKO WOTE .Watapatikana tu soon, na hatua kali za kisheria dhidi yao zitachukuliwa ili iwe fundisho kwa wengine wenye nia, mipango na tabia kama hiyo 🐒
Bado itakuwa ni bora, kwa sababu wanaji'sabotage' wenyewe mbele za macho ya wananchi, ambao watakuwa wanasoma alama hizo na kuelewa maana yake ni nini.What if hao hao kijani ndio wameiba madaftari baada ya kuona Kuna dalili za kushindwa au malengo Yao kutotimia?
Ni mategemeo yangu kuwa unakielewa unacho zungumzia hapa na siyo kujisuza moyo tu kwa muda mfupi. Naheshimu sana huo "ubini" wako katika jina unalo tumia.Hii ni rasharasha tu,mjaribu kuubaka uchaguzi kama mlivyofanya 2019 kama mnataka nchi yote iwe majivu.
Uchawa mbaya sana unamfanya mtu awe kipofu,ina maana chadema wanamiliki smg(bunduki),pingu na vitambulisho vya polisi???kama ndio serikali inafeli wapi isiwakamate hao viongozi wa chadema?Inawezekana maana hata huu utekaji unaoendelea imegundulika kuwa ni chadema wenyewe ndo wanafanya huo ujinga Ili kuiharibia serikali.