Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Oct 21, 2024 #41 Newsprit said: Malaya wa kisiasa kazini.Wewe jamaa ukipata nafasi ya kuwa kwenye nafasi serikalini Kwa uchawa wako uhakikishe unaaiba haswa baada ya muda utawa na LAANA WEWE NA NDUGU ZAKO WOTE . Click to expand... hiyo ni completely useless and nonsense gentleman
Newsprit said: Malaya wa kisiasa kazini.Wewe jamaa ukipata nafasi ya kuwa kwenye nafasi serikalini Kwa uchawa wako uhakikishe unaaiba haswa baada ya muda utawa na LAANA WEWE NA NDUGU ZAKO WOTE . Click to expand... hiyo ni completely useless and nonsense gentleman
byeyombo JF-Expert Member Joined Sep 3, 2015 Posts 2,647 Reaction score 4,184 Oct 21, 2024 #42 chadema wachunguzwe
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Oct 21, 2024 #43 ndammu said: Mihemko iko wapi? Click to expand... sasa chekechea imetoka wap
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,101 Reaction score 18,055 Oct 21, 2024 #44 Kati ya Hawa Wakina Manka na Wakina Mangi bagamoyo ,Maghayo ,Tate Mkuu , Zanzibar-ASP ,Rufiji ,Yoda ,Benjamini Netanyahu Uvccm mfuu Kadhi Mkuu 1 Jaji Mfawidhi MK254 mmojawapo lazima atakuwa kahusika
Kati ya Hawa Wakina Manka na Wakina Mangi bagamoyo ,Maghayo ,Tate Mkuu , Zanzibar-ASP ,Rufiji ,Yoda ,Benjamini Netanyahu Uvccm mfuu Kadhi Mkuu 1 Jaji Mfawidhi MK254 mmojawapo lazima atakuwa kahusika
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Oct 21, 2024 #45 darcity said: Kati ya Hawa Wakina Manka na Wakina Mangi bagamoyo ,Maghayo ,Tate Mkuu , Zanzibar-ASP ,Rufiji ,Yoda ,Benjamini Netanyahu Uvccm mfuu Kadhi Mkuu 1 Jaji Mfawidhi MK254 mmojawapo lazima atakuwa kahusika Click to expand... Dah! Afande Mafwele, hii haijakaa sawa hata kidogo. Mimi ni mzee tu nisiye jiweza! Sasa hizo nguvu za kuchana hilo daftari nazitoa wapi? 😩 Atakuwa ni Lucas Mwashambwa huyo na mwenzake Tlaatlaah ndiyo wamechana.
darcity said: Kati ya Hawa Wakina Manka na Wakina Mangi bagamoyo ,Maghayo ,Tate Mkuu , Zanzibar-ASP ,Rufiji ,Yoda ,Benjamini Netanyahu Uvccm mfuu Kadhi Mkuu 1 Jaji Mfawidhi MK254 mmojawapo lazima atakuwa kahusika Click to expand... Dah! Afande Mafwele, hii haijakaa sawa hata kidogo. Mimi ni mzee tu nisiye jiweza! Sasa hizo nguvu za kuchana hilo daftari nazitoa wapi? 😩 Atakuwa ni Lucas Mwashambwa huyo na mwenzake Tlaatlaah ndiyo wamechana.
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Oct 21, 2024 #46 Tate Mkuu said: Dah! Afande Mafwele, hii haijakaa sawa hata kidogo. Mimi ni mzee tu nisiye jiweza! Sasa hizo nguvu za kuchana hilo daftari nazitoa wapi? 😩 Atakuwa ni Lucas Mwashambwa huyo na mwenzake Tlaatlaah ndiyo wamechana. Click to expand... mzee unasumbuliwa na pepo baya sana la kusingizia wasiohusika, hatari zaidi hilo pepo lina kigugumizi.. njoo ufanyiwe maombi, njoo uombewea tafadhali kabla hali haijawa mbaya zaidi
Tate Mkuu said: Dah! Afande Mafwele, hii haijakaa sawa hata kidogo. Mimi ni mzee tu nisiye jiweza! Sasa hizo nguvu za kuchana hilo daftari nazitoa wapi? 😩 Atakuwa ni Lucas Mwashambwa huyo na mwenzake Tlaatlaah ndiyo wamechana. Click to expand... mzee unasumbuliwa na pepo baya sana la kusingizia wasiohusika, hatari zaidi hilo pepo lina kigugumizi.. njoo ufanyiwe maombi, njoo uombewea tafadhali kabla hali haijawa mbaya zaidi