Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kosa liko wapi kumuulizia kiongozi wako alipo?Uzushi na umbea utawa cost watu wengi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa liko wapi kumuulizia kiongozi wako alipo?Uzushi na umbea utawa cost watu wengi sana
Kama ni kweli wao ndio wanapaswa kutoa taarifa?Nakuwa na mashaka pia kwamba wasemayo labda yana ukweli. Kwani tatizo liko wapi mzee akijitokeza?
Kitendo cha wao kutokuonekana hadharani kinapelekea wananchi tunakamatwa pale tunapohoji walipo.sasa wanatuponza na nini mkuu
Kuuliza kiongozi alipo sio kosa, kosa ni kutoa taarifa za uzushiKosa liko wapi kumuulizia kiongozi wako alipo?
Ukihoji walipo Wala hakuna Mtu atakukamata, Ila ukianza kutoa tangazo kuwa fulani anaumwa hapo fasta tu unatulizwa. Msiwe na viherehereKitendo cha wao kutokuonekana hadharani kinapelekea wananchi tunakamatwa pale tunapohoji walipo.
Wakijitokeza tu hatutahoji tena, na Polisi hawatatukamata pia.
Kuuliza kiongozi alipo sio kosa, kosa ni kutoa taarifa za uzushi
Hakuna kitu Kama hicho, huu ujinga ndio mlijaza yule dogo wa DIT ngonyani nae eti akasema Kama mwamunyange hajapewa sumu aje hapa. Kilichofata nadhani unakumbuka.Duuuuh sasa mahakamani wakitaka JIWE ajitokeze je? Kama mimi ni wakili wa washitakiwa nitaiomba mahakamani watoprove kwamba haumwi kwa kumuona kanisani wiki ijayo.
Kutokujua na kutangaza usichokijua ndio uzushi na umbea sasa. Uliza ukishafahamishwa ndio utangazeWewe umejuaje kama ni uzushi? Kama haumwi yuko wapi sasa? Kama yupo likizo si andae kipindi TBC wamrushe live akitoa salamu halafu tuone gazeti la leo mezani.
Itafahamika.Kutokujua na kutangaza usichokijua ndio uzushi na umbea sasa. Uliza ukishafahamishwa ndio utangaze
Sasa kama hao watu wanao muulizia kiongozi wao wanatoa taarifa za uzushi, nongwa iko wapi kwa huyo Kiongozi kujitokeza hadharani kama alivyo wazoesha wapiga kura wake?Kuuliza kiongozi alipo sio kosa, kosa ni kutoa taarifa za uzushi
Hamkumsikia waziri mkuu?Sasa kama hao watu wanao muulizia kiongozi wao wanatoa taarifa za uzushi, nongwa iko wapi kwa huyo Kiongozi kujitokeza hadharani kama alivyo wazoesha wapiga kura wake?
Kujitokeza kwake hadharani si na kuondoa hii sintofahamu, si kungeondoa kabisa huo mkanganyiko mama D ?
Waziri mkuu?? yeye ndio anasema ukweli? mangapi ya uongo wanatuambia majukwaani?Hamkumsikia waziri mkuu?
Kwani kuumwa ni jambo lisilo stahili kwa kiongozi? Kama anaumwa si aweke tu wazi!! Mbona JK aliweka wazi baada ya kufanyiwa upasuaji wa tezi dume enzi za utawala wake!!Ukihoji walipo Wala hakuna Mtu atakukamata, Ila ukianza kutoa tangazo kuwa fulani anaumwa hapo fasta tu unatulizwa. Msiwe na viherehere
Eeeeeh yeye ndio anasema ukweliWaziri mkuu?? yeye ndio anasema ukweli? mangapi ya uongo wanatuambia majukwaani?
kuulizia sio tatizo, tatzo kutoa taarifa kuwa anaumwa.. wwe una uhakika gani kama ni mgonjwaKitendo cha wao kutokuonekana hadharani kinapelekea wananchi tunakamatwa pale tunapohoji walipo.
Wakijitokeza tu hatutahoji tena, na Polisi hawatatukamata pia.
Inahitaji uwe na moyo wa kipekee kumuamini mtu aliyesema wakati ule 'wameajiri walimu 5000 wiki mbili zilizopita', huku akijua anasema uongo.Waziri mkuu?? yeye ndio anasema ukweli? mangapi ya uongo wanatuambia majukwaani?