Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
Yaani Tundu lissu, Mnyika, salum mwalim, Gwarugwa plus Faru John utegemee kupata taarifa reliable kweliiiiiiiiiiiiiiiiii du chadema majanga matupu. Hongera Halima &co kwa kujitambua, hata hivyo mmepoteza muda wenu sana hukoNilikuwa nahitaji ilivyo sheria kama kuna uvumi na baadhi wakakamatwa kutokana na tuhuma kuwa wamezua jambo ambalo sio la kweli,ila baada ya muda kupita ule uvumi ni jambo la kweli lisilokuwa na shaka ndani yake.
Nini hukumu ya wale waliokamatwa ?