Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Shule nyingi za msingi za serikali zilizopo wilayani hai mkoani Kilimanjaro majengo yake ni machakavu na hayafai kwa wanafunzi kusomea.
Nyingi za shule hizo ni zile zilizojengwa kipindi cha ukoloni na baada ya uhuru lakini hadi sasa majengo yake yako vile vile ni machakavu na hakuna ukarabati wowote uliofanyika.
Pia baadhi ya madarasa kukosa milango, pamoja na nyufa
Moja kati ya shule hizo ambazo majengo yake ni machakavu , ni shule ya msingi Narumu, shule ya msingi Orori na Mulama shule ya msingi.