Mwaka huu wanajenga shule hizo Wala usiwaze 👇Shule nyingi za msingi za serikali zilizopo wilayani hai mkoani Kilimanjaro majengo yake ni machakavu na hayafai kwa wanafunzi kusomea.
Nyingi za shule hizo ni zile zilizojengwa kipindi cha ukoloni na baada ya uhuru lakini hadi sasa majengo yake yako vile vile ni machakavu na hakuna ukarabati wowote uliofanyika.
Moja kati ya shule hizo ambazo majengo yake ni machakavu , ni shule ya msingi Narumu, shule ya msingi Orori na Mulama shule ya msingi.
View attachment 2312802
Hiyo ni kutokana na bajeti ambayo hata nusu yeke hua haitekelezwi!! Kwahivyo afadhali ukae kimya kwani hızı Serikali za ccm ni mchoko mwanzo mwisho!!! Samia hana tofauti na waliomtangulia!Mwaka huu wanajenga shule hizo Wala usiwaze 👇
Ulitaka jibu au ulitaka nini hasa? Umeambiwa wanaanza na madarasa hayo sasa kama hutaki Baki hivyo hivyoHiyo ni kutokana na bajeti ambayo hata nusu yeke hua haitekelezwi!! Kwahivyo afadhali ukae kimya kwani hızı Serikali za ccm ni mchoko mwanzo mwisho!!! Samia hana tofauti na waliomtangulia!
vyema sanaMwaka huu wanajenga shule hizo Wala usiwaze 👇
Nilitaka ukae kimya na sio kuleta siasa kwenye mambo serious!! Bajeti ya mwaka jana wametekeleza mangapi kwenye wizard ya Elimu kuhusu madarasa walioahidi? Wewe uko hapo kama "PRAISE" team kulinda ugali wako lakini ujue siku moja mtaumbuka; kwani watawala wenzenu wa Sri Lanka walimkosea Mungu nini?Ulitaka jibu au ulitaka nini hasa? Umeambiwa wanaanza na madarasa hayo sasa kama hutaki Baki hivyo hivyo
🚮🚮Nilitaka ukae kimya na sio kuleta siasa kwenye mambo serious!! Bajeti ya mwaka jana wametekeleza mangapi kwenye wizard ya Elimu kuhusu madarasa walioahidi? Wewe uko hapo kama "PRAISE" team kulinda ugali wako lakini ujue siku moja mtaumbuka; kwani watawala wenzenu wa Sri Lanka walimkosea Mungu nini?