Habarini madaktari.
mtoto wangu wa miaka 8 amepata tatizo la chronic tonsils ( nilisikia madaktari wakisema kuwa hizo tezi zimekuwa septic. ameandikiwa sindano kwa siku 7 sindano hiyo inaitwa ceftriaxone injection kwa siku 7. ila bibi yake leo ameniambia huyo mtoto hatopona kwakuwa ana kilimi kirefu inatakiwa kukatwa na akishakatwa hizi shida nitazisahau.
madaktari naombeni nasaha zenu maana sasa nachanganyikiwa mtoto yupo half dose ila dalili za kupona ndio hazipo kabisaaa!!!
Kinachoniwazisha ni je kilimi huwa kinakatwa hospital?? maana nimeelekezwa kwa wazee wajadi na nafsi yangu haitaki kabisa kwenda huko.
Sky Eclat Mzizi Mkavu[USER=6716]Riwa na madaktari wote naombeni ushauri wenu..