Kilimo bora na salama kwa kutumia dawa na mbolea za kibailojia (Biofertillizers and Bio pesticides)

Kilimo bora na salama kwa kutumia dawa na mbolea za kibailojia (Biofertillizers and Bio pesticides)

Kabhwai

New Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
1
Reaction score
1
Habarini wana jukwaa...

Mbolea za kemikali na dawa za kimekali limekuwa ni tatizo kubwa linalopelekea mabaki ya hizi dawa au mbolea katika mazao hususa ni mboga za majani.

Hali hii ni mbaya maana inaweza kupelekea matatizo kwa miaka ya baadae mfano magonjwa kama kansa.

Hivyo tunahitaji mbolea ambazo hazina kemikali na dawa za kuuwa wadudu wanaoshambulia mazao zisizo na kemikali. Kwa hiyo utengenezaji wa mbolea au dawa za wadudu za kibailojia zitaondoa tatizo hili kwani ni salama.

Ushauri wangu kwa serikali na taasisi binafsi zinazojiusisha na kilimo zifanye mapinduzi haya kwa kushirikiana na wataalamu inaowazalisha.

Hii itapelekea ardhi kutopoteza rutuba lakini pia hizi ni rafiki kwa mazingira na ni salama kwa mtumiaji.

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom