Mashine zinapatikana SIDO, Kwa order maalumu. kuna oil expeller 3ml hadi 4ml. kuna chekeche 1,500,000. kuna filter 3ml. Unaweza kununua pamoja na refinery 3ml.
Mashine zinapatikana sido na kwa wahindi. Nimemnunulia mjombangu mashine moja kwa milioni nane pamoja na filter ina mabomba kumi na mbili. Igembe Nsabo nisaidie, Unauza lita ishirini za mafuta kwa bei gani. Nadhani bei ya shilingi 2,500 kwa lita itakupa shilingi elfu hamsini kwa lita 20. Naogopa kidogo, Kuhusu kulima wengi wanalima kwa njia za asili. Ukilima kitaalam, utapata tani nne za alizeti kwa ekari moja. Huende ukishirikisha wataalaam utalima kwa faida. Mimi nimefanya utafiti wa kilimo cha mpungu cha umwagiliaji. Ekari moja gharama yote ni shs 300,000. Mavuno ni magunia 40 minimum. Una uhakika wa kuuza shs 2,500,000 kwa ekari moja. Kilimo ni ukombozi ni vizuri tunaopenda kilimo tulime sehemu moja ili kupunguza gharama. Tuchangie gharama za mtaalam, gharama za kusafirisha pembejeo na hata usafiri wetu wa kwenda na kurudi shamba.
Kilimo cha mpunga kinachukua muda wa miezi mitatu hadi minne hadi kuvuna. Mikoa mingi inaweza zalisha mpunga vizuri. Mbeya, Iringa, Morogoro, Dar es Salaam, Pwani, Ruvuma, Mwanza na shinyanga. Pembejeo kama planters za mpunga, harvesters na tractors hata powerilers ni muhimu sana. Rafiki yangu alianza kwa umasikini mkubwa kulima ifakara baada ya kupata redundancy nbc. Alianza na ekari 5 miaka saba iliyopita. Sasahivi ana matrector kumi na analima ekari elfu moja na anavuna zaidi ya magunia ya mpunga elfu 50. Chakula kitaendelea kupanda bei kwa muda mrefu.
Kibananhukhu, Mimi kwa sasa nimesimama kuzalisha kutokana na shortage ya Raw material ila price ya 5lt ina range from 17,000 to 19,000. Ninachoweza kusema ni kuwa biashara hii ni nzuri na demand yake is unfulfilled. Sasa hivi Gunia hilo hilo linauzwa mpaka Tsh 55,000 au 60,000/= kule kule shamba halijaja hapa mjini. Kuna kitu kinaitwa Mashudu (Cake), hii bidhaa nayo ni hot cake na demand yake ni kubwa sana.Igembe Nsabo nisaidie, Unauza lita ishirini za mafuta kwa bei gani. Nadhani bei ya shilingi 2,500 kwa lita itakupa shilingi elfu hamsini kwa lita 20. Naogopa kidogo, Kuhusu kulima wengi wanalima kwa njia za asili. Ukilima kitaalam, utapata tani nne za alizeti kwa ekari moja.
ndugu zangu sisi tumeanza kuungana baadhi ya members wa JF ili tulime kwa pamoja!!..
igembe nsambo nitakutafuta maana kuna mambo mazuri ya kujadili
Kilimo cha mpunga kinachukua muda wa miezi mitatu hadi minne hadi kuvuna. Mikoa mingi inaweza zalisha mpunga vizuri. Mbeya, Iringa, Morogoro, Dar es Salaam, Pwani, Ruvuma, Mwanza na shinyanga. Pembejeo kama planters za mpunga, harvesters na tractors hata powerilers ni muhimu sana. Rafiki yangu alianza kwa umasikini mkubwa kulima ifakara baada ya kupata redundancy nbc. Alianza na ekari 5 miaka saba iliyopita. Sasahivi ana matrector kumi na analima ekari elfu moja na anavuna zaidi ya magunia ya mpunga elfu 50. Chakula kitaendelea kupanda bei kwa muda mrefu.
ndugu zangu sisi tumeanza kuungana baadhi ya members wa JF ili tulime kwa pamoja!!..
igembe nsambo nitakutafuta maana kuna mambo mazuri ya kujadili
habari yenu wana JF. Mimi mkazi wa kigoma wilaya ya Kibondo. Naomba msaada wenu. Nikiwatazama ndugu zangu wakulima huku tunaishi maisha magumu lakini nilipoiona thread ya uzalishaji wa Arlizeti hapo juu kwa mchangiaji nimepata matumaini. Maana ardhi yetu huku ni bora mno na yenye rutuba ya kufaa sana kilimo cha alizeti kuanzishwa lakini kusema kweli huku hata shamba moja hakuna! Vipi nianzeje na nikishaanza mbegu hizo nitazikamlia wapi? Au hadi nije nifaate singida au Arusha? Jamani mwenye uchu naomba ushauri na watu tufanye mawasiliano. asanteni

jibu swali la Malila..............kuna njia nyingi za kuweza kufikia malengo yako
Asante kwa kunisaidia kumjulisha hili jambo.