Kilimo cha dengu

Wali dengu ni mtamu kuliko wali nyama
 
Leta mrejesho mkuu
 
Eka moja unapata mavuno kiasi gani? Vp khs bei?
@sawima naskia sku Hz Kuna booster kama vile supergro na nk. ambazo zinaongeza mavuna Ila sjawah tumia lkn kwa uzoefu wangu wa kulima dengu 1 hekta Inatoa Gunia 5 had 7 upande wa Bei 2000 had 4000 hii Bei huwa inakuwa kubwa hasa vijijin pind msimu wa kulima unapofika huwa debe linauzwa Hadi 50000 had 70000. hii sjaambiwa Wala kusimuliwa
 
Vip Tayal mmeshakamilsha hyo process yenu
 
Hapo kwenye namba moja labda nikusahihishe kidogo,Dengu inastawi vizuri kwenye udongo mweusi-black cotton soil,huu udongo tabia yake huwa unahifadhi maji muda mrefu,ndio maana hata upandaji wake huwa wanasubiria mvua zikatike ili kukishakuwa kukavu kwa juu ndio unapanda,lakini ukipiga hata jembe moja una kutana na unyevu,kwahiyo mpaka mmea umechipua na kuzaa ardhi bado chini inakuwa na maji ila ukiangalia huku juu ni kukavu na ardhi yake ina tabia ya kupasukapasuka.Kwahiyo nimeona mara nyingi huwa wanapanda kipindi mvua za masika zikisha katika mwezi March mwishoni au April mwanzoni na miezi ya kuja kuvuna ni kipindi cha July mpaka August...
 
Jaman Mimi nmelima dengu Hanang nataraji kuvuna mwez agust, lakin katk pita pita zang z kutafuta maisha nikakuta mkoa fulan Kuna udongo ambao pmj na mvua kukata mwez wa nne mwanzon mpaka sasa Kuna unyevu kwa juu je mazngra hayo yanafaa kwa kilimo Cha dengu hata km udongo sio mweus? Hilo ni mosi, na pili je kwa kuwa maeneo hayo Kuna mito icyokauka naweza nikafanya kilimo Cha umwagliaj kwa zao la dengu?
 

Attachments

  • IMG_20220709_081441_503.jpg
    455.7 KB · Views: 58
Kama unataka kukichukia kilimo Cha dengu ruhusu maji shamban kwako
 
Ni sehemu gani uliyokuta udongo wa aina hiyo mkuu?
 
Habari za majukumu Wana jamii. Bado minaulizia kama Kuna mtu yeyote anayefahamu sehemu nitaweza pata mashine ya kipukutisha, Dengu, na Alizeti.
 
Habar wadau naomba kujua soko la dengu kwasasa Niko na tons zaid ya kumi 0655822814[emoji338]
 
Miezi ni mitatu suala la uvunaji ni kutegemeana na matunzo na kanuni zake
Sorry mkuu, hua sipendagi mtu ajibu hv? Wewe msimu uliopita umevuna kiasi gan? Mavuno yako ya juu kabisa yalikua kiasi gani? Mavuno yako ya chini kabisa yalikua kiasi gani? Twende hapo sasa...!
 
Vyote viwili siwezi nikakuandikia maana kila kitu kinatofautiana na eneo so siwezi kukisia kulima kwa trekta mfano ni 40000 wakati kwenu ni 75000 hivyo kuhusu mchanganuo data za ziada zinahitajika
Wewe eneo ulilopo umetumia kiasi gan per acre?, achana na eneo la mtu mwingne. Mtu mwingne atakokotoa mwnyw gharama zake kulingana na frame work utayotupa. Sabab lengo ni kutaka kujua kilimo cha dengu kina cost zipi na zipi!.
 
Safi kila la heri mkuu!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…