Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta mrejesho mkuuWadau natumai mapambano yanaendelea! Mwenzenu Kuna kitu kinaitwa super gro nmekutana nacho kinasfiwa kutoa mazao kwa kiwango kikubwa kikitumika katk mazao yote! Swali langu je kwakuwa lebel yake imeandkwa ni wetting/ surfactant agent vp kuhusu mazao y kiangaz ambayo tunalima paspo kuwa na mvua inafaa hii? Namaansha kwa mazao km dengu na ngwara! Karbun kwa mwenye uzoefu na hili
@Babalao dengu kama imetunzwa vzur Inatoa Gunia 5 had 7 sio debe mbiliDengu inaeza toa debe 2 kwa ekari
@sawima naskia sku Hz Kuna booster kama vile supergro na nk. ambazo zinaongeza mavuna Ila sjawah tumia lkn kwa uzoefu wangu wa kulima dengu 1 hekta Inatoa Gunia 5 had 7 upande wa Bei 2000 had 4000 hii Bei huwa inakuwa kubwa hasa vijijin pind msimu wa kulima unapofika huwa debe linauzwa Hadi 50000 had 70000. hii sjaambiwa Wala kusimuliwaEka moja unapata mavuno kiasi gani? Vp khs bei?
Vip Tayal mmeshakamilsha hyo process yenuhapana mkuu ,,,kila kitu kipo sawa ,,,,,tupo kwenye hatua za mwanzoni ndiyo maana umehisi ila kila kitu kipo sawa ...
utajionea siku za usoni mkuu na kwa upande wa whatsapp tunaicreate channel maalum ambayo kama mkulima akiwa anauliza maswali itakuwa inatoa majibu direct....
App itaanza kutumika ndani ya mwezi wa tatu,..
kwa sasa kwanza tunakusanya data base za wakulima,mabwana shamba,maduka ya kuuza pembejeo n.k
hivyo vyote mkuu vinahitaji process maana hatuwezi maana app haiwezi kufanya kazi bila ya kuwepo hao wadau wa kilimo.
hata account yetu ya instagram ni mpya bado mambo hayajaanza kuchanganya,,,,,tupo kwenye hatua za mwanzo....
follow instagram shambaplus_
Hapo kwenye namba moja labda nikusahihishe kidogo,Dengu inastawi vizuri kwenye udongo mweusi-black cotton soil,huu udongo tabia yake huwa unahifadhi maji muda mrefu,ndio maana hata upandaji wake huwa wanasubiria mvua zikatike ili kukishakuwa kukavu kwa juu ndio unapanda,lakini ukipiga hata jembe moja una kutana na unyevu,kwahiyo mpaka mmea umechipua na kuzaa ardhi bado chini inakuwa na maji ila ukiangalia huku juu ni kukavu na ardhi yake ina tabia ya kupasukapasuka.Kwahiyo nimeona mara nyingi huwa wanapanda kipindi mvua za masika zikisha katika mwezi March mwishoni au April mwanzoni na miezi ya kuja kuvuna ni kipindi cha July mpaka August...Moja ya mambo ambayo Tanzania huwa hayatangazwi Au kutembea kwa habari zake kwa kasi ni kilimo cha dengu, ngoja nianze kwa sababu kadhaa, ni eneo dogo la nchi linalolima dengu ila huhitaji wake bado upo, twenzetu....
1/ Hakihitaji maji wala mvua yaani unaweza lima kwa kutegemea umande tu hii ni kutokana na namna mbegu ilivyojiandaa na kuepukana na changamoto za magonjwa hasa ya fangasi.
2/ Soko lake bado lipo,unaweza kucomment bei ya huko ulipo kwa sasa,bei ni 2000-4000 tsh Tanzania hii itatofautiana na maeneo ila bei ipo.
3/ Gharama za uendeshwaji wa shamba ni ndogo sana labda kikubwa ni mbegu ila mengine ikizingatiwa magonjwa na changamoto za wadudu ni ndogo sana.
4/ Wengi hawalifahamu wanafahamu bidhaa ya dengu ila 80% ya watanzania Dengu hawaijui au mmea wenyewe unaonekanaje na hivyo kufanya nafasi ya kupenya kwa sehemu uliyopo.
5/ Zao la pili yaani ukitoa zao linalovumilia mvua za mwaka ndio huwekwa mfano mpunga ukishavuna unageuza ardhi unamwaga Dengu zako.
Hizo hapo juu ni sababu chache kati ya zile nyingi zitakazofanya mtu asijilaumu kulima dengu.
Unaweza kuandika jumbe fupi.
0714600576/0620598113.
Kuhusu ushauri wa mimea/tabia za mimea.
Masoko na kilimo kwa ujumla.
Karibuni Morogoro.View attachment 1679443
Kama unataka kukichukia kilimo Cha dengu ruhusu maji shamban kwakoJaman Mimi nmelima dengu Hanang nataraji kuvuna mwez agust, lakin katk pita pita zang z kutafuta maisha nikakuta mkoa fulan Kuna udongo ambao pmj na mvua kukata mwez wa nne mwanzon mpaka sasa Kuna unyevu kwa juu je mazngra hayo yanafaa kwa kilimo Cha dengu hata km udongo sio mweus? Hilo ni mosi, na pili je kwa kuwa maeneo hayo Kuna mito icyokauka naweza nikafanya kilimo Cha umwagliaj kwa zao la dengu?
Ni sehemu gani uliyokuta udongo wa aina hiyo mkuu?Jaman Mimi nmelima dengu Hanang nataraji kuvuna mwez agust, lakin katk pita pita zang z kutafuta maisha nikakuta mkoa fulan Kuna udongo ambao pmj na mvua kukata mwez wa nne mwanzon mpaka sasa Kuna unyevu kwa juu je mazngra hayo yanafaa kwa kilimo Cha dengu hata km udongo sio mweus? Hilo ni mosi, na pili je kwa kuwa maeneo hayo Kuna mito icyokauka naweza nikafanya kilimo Cha umwagliaj kwa zao la dengu?
Ni sehemu gani uliyokuta udongo wa aina hhi
Songea vjjn mkuuNi sehemu gani uliyokuta udongo wa aina hiyo mkuu?
Habar wadau naomba kujua soko la dengu kwasasa Niko na tons zaid ya kumi 0655822814[emoji338]Moja ya mambo ambayo Tanzania huwa hayatangazwi Au kutembea kwa habari zake kwa kasi ni kilimo cha dengu, ngoja nianze kwa sababu kadhaa, ni eneo dogo la nchi linalolima dengu ila huhitaji wake bado upo, twenzetu....
1/ Hakihitaji maji wala mvua yaani unaweza lima kwa kutegemea umande tu hii ni kutokana na namna mbegu ilivyojiandaa na kuepukana na changamoto za magonjwa hasa ya fangasi.
2/ Soko lake bado lipo,unaweza kucomment bei ya huko ulipo kwa sasa,bei ni 2000-4000 tsh Tanzania hii itatofautiana na maeneo ila bei ipo.
3/ Gharama za uendeshwaji wa shamba ni ndogo sana labda kikubwa ni mbegu ila mengine ikizingatiwa magonjwa na changamoto za wadudu ni ndogo sana.
4/ Wengi hawalifahamu wanafahamu bidhaa ya dengu ila 80% ya watanzania Dengu hawaijui au mmea wenyewe unaonekanaje na hivyo kufanya nafasi ya kupenya kwa sehemu uliyopo.
5/ Zao la pili yaani ukitoa zao linalovumilia mvua za mwaka ndio huwekwa mfano mpunga ukishavuna unageuza ardhi unamwaga Dengu zako.
Hizo hapo juu ni sababu chache kati ya zile nyingi zitakazofanya mtu asijilaumu kulima dengu.
Unaweza kuandika jumbe fupi.
0714600576/0620598113.
Kuhusu ushauri wa mimea/tabia za mimea.
Masoko na kilimo kwa ujumla.
Karibuni Morogoro.View attachment 1679443
Ungesema uko wapi, manyara kilo ni sh. 700Habar wadau naomba kujua soko la dengu kwasasa Niko na tons zaid ya kumi 0655822814[emoji338]
Tupe mrejesho mkuu, vp sokoni kinaeleweka? Mtaji wake kuanza ukoje per acre?Ninalima mwaka wa wa pili sasa
Sorry mkuu, hua sipendagi mtu ajibu hv? Wewe msimu uliopita umevuna kiasi gan? Mavuno yako ya juu kabisa yalikua kiasi gani? Mavuno yako ya chini kabisa yalikua kiasi gani? Twende hapo sasa...!Miezi ni mitatu suala la uvunaji ni kutegemeana na matunzo na kanuni zake
Wewe eneo ulilopo umetumia kiasi gan per acre?, achana na eneo la mtu mwingne. Mtu mwingne atakokotoa mwnyw gharama zake kulingana na frame work utayotupa. Sabab lengo ni kutaka kujua kilimo cha dengu kina cost zipi na zipi!.Vyote viwili siwezi nikakuandikia maana kila kitu kinatofautiana na eneo so siwezi kukisia kulima kwa trekta mfano ni 40000 wakati kwenu ni 75000 hivyo kuhusu mchanganuo data za ziada zinahitajika
What happened mkuu, wanunuzi waligoma kununua?Tatizo la hayo mazao soko lakelitategemea hasa wahindi, wakizingua ndo basi tena. Mi nimelima miaka miwili sijalima tena
Safi kila la heri mkuu!.Si kwel dengu heka moja unaweza pata dunia 3 hadi 5 kwa heka tena ukipata ardhi nzr na ukapanda kwa ng'ombe dume unaweza pata hadi gunia 7, dengu ni zao zuri sn coz halina stress mwaka juzi kdg ndio bei ilizingua but ni zao zuri coz linavumilia sn magonjwa haliitaji mvua wala mbolea wala parizi, haiitaji dawa kuifadhi kwake ghalani , bei ya mwaka jana mwisho ikifika 1500tsh kwa kilo na ulifanikiwa kuingiza kenya basi umepiga hatua coz dengu kule wanatengenezea biscuits . mie nina heka 20 ninajiandaa kulima mwezi wa tatu mwishoni huko babati