Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
nasikia enzi hizo walichukua mbegu za michikichi na kupeleka huko indonesia leo hii wanatuuzia mafuta ya maweseKwa kweli wenzetu wamechukua mbegu kutoka tropical countries kwa miaka mingi sana hata wanyama wetu na wadudu, ila sisi tumelala sana
Inabidi tunahakikisha tunarudi na mbegu kutoka nje au tunaagiza
Wao mpaka mende wanabeba
Kipindi cha ukame ikitoa maua kama hakuna maji ina abort maua yote hio ni tabia ya mimeme karibia yote, So hakikisha wakati wa ukame ikisha toa mau unamwagilia maji atlest mara 1 kwa wiki 2.Ninayo za matunda ya red na white, infact mbegu za mwanzo kabisa nilichukua kwako na nyingine nilinunua kwa Anthony KINOTI kutoka kenya
matokeo ambayo siyapati ni matunda kipindi cha joto kali na jua siambulii kitu kipindi kingine napata matunda machace saana ....nafikiria niweke green house ila bado sija figure out
Kwa sababu zipi sa kisayansi? Dragon inahitaji full sun light, hivyo maeneo yote yenumye full sun light inafanya vyema, kwa upande wa Pwani unaweza kuwa ni the best kwa sababu ya Salinity ya Baharini,Kwa Kifupi tu, Dragon itafanya vizuri kama utalimia Dodoma
Kiwi naweza kukupatia mbegu kabisa ukaoteshe au.miche yake, sema miche ni ghari kiasi, Kiwi inafanya vyema maeneo yenumye jua la kutosha pia, haitaki baridi kari,Jaman na mbegu za kiwi zinapatikana wapi. Halafu Kuna mtu aliniambia kiwi zinastawi mahala pa baridi
Thanks man ,how much mche na inaanza kubeba matunda baada ya muda gani. I need some plzKiwi naweza kukupatia mbegu kabisa ukaoteshe au.miche yake, sema miche ni ghari kiasi, Kiwi inafanya vyema maeneo yenumye jua la kutosha pia, haitaki baridi kari,
Mkuu mbegu KIWI zinaenda kwa bei ganiKiwi naweza kukupatia mbegu kabisa ukaoteshe au.miche yake, sema miche ni ghari kiasi, Kiwi inafanya vyema maeneo yenumye jua la kutosha pia, haitaki baridi kari,
10,000\ zinakuwa mbegu 200+Mkuu mbegu KIWI zinaenda kwa bei gani
Hongera sana kwa hatua hiyo. Jaribu kuangalia kama kuna ambacho umekosea au kimepelea kwa kujilinganisha na wale wanaopata matokeo mazuri kukuzidi.Ninayo za matunda ya red na white, infact mbegu za mwanzo kabisa nilichukua kwako na nyingine nilinunua kwa Anthony KINOTI kutoka kenya
matokeo ambayo siyapati ni matunda kipindi cha joto kali na jua siambulii kitu kipindi kingine napata matunda machace saana ....nafikiria niweke green house ila bado sija figure out
Bei ya miche ni sh ngapi?Kiwi naweza kukupatia mbegu kabisa ukaoteshe au.miche yake, sema miche ni ghari kiasi, Kiwi inafanya vyema maeneo yenumye jua la kutosha pia, haitaki baridi kari,
Kwa Kigoma naamini itakubaliHongera sana kwa hatua hiyo. Jaribu kuangalia kama kuna ambacho umekosea au kimepelea kwa kujilinganisha na wale wanaopata matokeo mazuri kukuzidi.
Ni wapi mbegu yake inakipatikana kwa hapa Tanzania?
Unafikiri inaweza kukubali kwa mikoa ya Kanda ya Magharibi kama Kigoma?
Unauza bei gani mkuu? Ni mbegu au miche?Kwa Kigoma naamini itakubali
mbegu kwa sasa nizo ila sio nyingi saana niliwasiliana na Anthony akanishauri nimeshagundua nilipokosea
Kwa Kigoma naamini itakubali
mbegu kwa sasa nizo ila sio nyingi saana niliwasiliana na Anthony akanishauri nimeshagundua nilipokosea
Picha ya Video ni Dragon nyumbani kwangu Buhongwa nilizipata January 2023 na sasa zimefikia hapo juu. Soon matunda yanakuja...ungetusaidia sana wasomaji wako kama ungeeleza wapi ulikosea ktk utunzaji wa Dragon fruits, na umerekebisha vipi, na matokeo yamekuwaje.
Picha iko wapi mkuu?Picha ya Video ni Dragon nyumbani kwangu Buhongwa nilizipata January 2023 na sasa zimefikia hapo juu. Soon matunda yanakuja.
Mbegu zipo kiongozi, npigie +255 622642620Picha iko wapi mkuu?
Ninatafuta mbegu ya dragon, nitaipataje?
Kuna mtu anahitaji chache. Nitampatia mawasiliano yako. Atakutafuta.Mbegu zipo kiongozi, npigie +255 622642620
KaribuKuna mtu anahitaji chache. Nitampatia mawasiliano yako. Atakutafuta.
πππKaribu
Ukweli huwa hamuutaki?Hivi hauwezi kutangaza fursa mpaka uanze kwa kuwalaumu watu?
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app