Kilimo cha Dragons na matunda mengine kama Kiwi

Kilimo cha Dragons na matunda mengine kama Kiwi

Kwa kweli wenzetu wamechukua mbegu kutoka tropical countries kwa miaka mingi sana hata wanyama wetu na wadudu, ila sisi tumelala sana
Inabidi tunahakikisha tunarudi na mbegu kutoka nje au tunaagiza
Wao mpaka mende wanabeba
nasikia enzi hizo walichukua mbegu za michikichi na kupeleka huko indonesia leo hii wanatuuzia mafuta ya mawese
 
Ninayo za matunda ya red na white, infact mbegu za mwanzo kabisa nilichukua kwako na nyingine nilinunua kwa Anthony KINOTI kutoka kenya

matokeo ambayo siyapati ni matunda kipindi cha joto kali na jua siambulii kitu kipindi kingine napata matunda machace saana ....nafikiria niweke green house ila bado sija figure out
Kipindi cha ukame ikitoa maua kama hakuna maji ina abort maua yote hio ni tabia ya mimeme karibia yote, So hakikisha wakati wa ukame ikisha toa mau unamwagilia maji atlest mara 1 kwa wiki 2.
 
Kwa Kifupi tu, Dragon itafanya vizuri kama utalimia Dodoma
Kwa sababu zipi sa kisayansi? Dragon inahitaji full sun light, hivyo maeneo yote yenumye full sun light inafanya vyema, kwa upande wa Pwani unaweza kuwa ni the best kwa sababu ya Salinity ya Baharini,
 
Jaman na mbegu za kiwi zinapatikana wapi. Halafu Kuna mtu aliniambia kiwi zinastawi mahala pa baridi
Kiwi naweza kukupatia mbegu kabisa ukaoteshe au.miche yake, sema miche ni ghari kiasi, Kiwi inafanya vyema maeneo yenumye jua la kutosha pia, haitaki baridi kari,
 
Kiwi naweza kukupatia mbegu kabisa ukaoteshe au.miche yake, sema miche ni ghari kiasi, Kiwi inafanya vyema maeneo yenumye jua la kutosha pia, haitaki baridi kari,
Thanks man ,how much mche na inaanza kubeba matunda baada ya muda gani. I need some plz
 
Ninayo za matunda ya red na white, infact mbegu za mwanzo kabisa nilichukua kwako na nyingine nilinunua kwa Anthony KINOTI kutoka kenya

matokeo ambayo siyapati ni matunda kipindi cha joto kali na jua siambulii kitu kipindi kingine napata matunda machace saana ....nafikiria niweke green house ila bado sija figure out
Hongera sana kwa hatua hiyo. Jaribu kuangalia kama kuna ambacho umekosea au kimepelea kwa kujilinganisha na wale wanaopata matokeo mazuri kukuzidi.

Ni wapi mbegu yake inakipatikana kwa hapa Tanzania?

Unafikiri inaweza kukubali kwa mikoa ya Kanda ya Magharibi kama Kigoma?
 
Kwa Kigoma naamini itakubali
mbegu kwa sasa nizo ila sio nyingi saana niliwasiliana na Anthony akanishauri nimeshagundua nilipokosea
 
Kwa Kigoma naamini itakubali
mbegu kwa sasa nizo ila sio nyingi saana niliwasiliana na Anthony akanishauri nimeshagundua nilipokosea

..ungetusaidia sana wasomaji wako kama ungeeleza wapi ulikosea ktk utunzaji wa Dragon fruits, na umerekebisha vipi, na matokeo yamekuwaje.
 
Back
Top Bottom