firebridge
Member
- Jan 15, 2013
- 20
- 5
Nimeona kwenye mitandao na kugundua kuwa kuna kilimo ama ufugaji wa konokono katika nchi mbali mbali hapa duniani na soko lilivyo kubwa la wakonokono duniani. Nimeona Nigeria wao wamefanikiwa sana kuwa shughuli hizo kiasi kwamba wanatoa mafunzo , wanazalisha mbegu na kuwatafutiaq wajasiriamali masoko na mashirika ya kuwasaidia
Naomba kama kuna wataalamu wa kilimo hicho wajitokeze ili na sisi tuanzishe kilimo hicho kwani ni bidhaa inayohitajika sana katika nchi nyingi za ulaya. Nimeona Kenya tayari wameshaanza kilimo hicho. Wataalamu jitokezeni mtufundishe