Kilimo cha Macadamia kinaweza kuwa mbadala mazao mengi

Kilimo cha Macadamia kinaweza kuwa mbadala mazao mengi

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Kwa Africa Macadamia inalimwa sana South Africa na Kenya, ingawa pia hata Zambia wanakuja kwa kasi ya kutisha. Macadamia kwa Tanzania sio sana ingawa kuna Wazungu wanalima kitambo ila sio sana kama Kenya.

Bei ya Macadamia kwenye soko la Dunia inatisha sana hata kwa hapa Tanzania bei ya Macadamia ni ya kutisha.Changampto kwenye macadamia ni kuja kuwa na mitambo ya kuprocess.Ikisha weza kuprocess mwemyewe basi utajiri uko hapo kwa sababu Macadamia inazalisha mafuta ya kupikia na inatengeneza siagi na bado inaliwa.

Kwa sasa kuna Mwamko sana wa hiki kilimo na kwa baadae nahisi Tanzania inaweza kuja hata kuipiku Kenya.

Hio ni bei nilikutana nayo Super Market Arusha.

Nb: Macadamia ni karanga poli kwa jina jingine, ni family ya nuts, kama korosho, karanga na almond

IMG_20230611_120035.jpg

View attachment 2661158View attachment 2661157View attachment 2661159
 
Hujaeleweka, macadamia ni nini?
Picha ya mimea, pia inalimwa vipi, wakati gani?
 
Sasa ule mti wake uupande hadi uje kuvuna si miaka 20? Na miaka yangu 45 nianze kupandikiza macadamia,kweli?
 
Sasa ule mti wake uupande hadi uje kuvuna si miaka 20? Na miaka yangu 45 nianze kupandikiza macadamia,kweli?
Do for your child,sio kila kitu unachofanya leo lazima kikunufaishe wewe.Hapo ndipo Wazungu walipotuzidi.
 
Sehemu nafanya kazi Kuna mzungu analima anayo mengi ni hatar ,,,
 
Back
Top Bottom