CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Kwa Africa Macadamia inalimwa sana South Africa na Kenya, ingawa pia hata Zambia wanakuja kwa kasi ya kutisha. Macadamia kwa Tanzania sio sana ingawa kuna Wazungu wanalima kitambo ila sio sana kama Kenya.
Bei ya Macadamia kwenye soko la Dunia inatisha sana hata kwa hapa Tanzania bei ya Macadamia ni ya kutisha.Changampto kwenye macadamia ni kuja kuwa na mitambo ya kuprocess.Ikisha weza kuprocess mwemyewe basi utajiri uko hapo kwa sababu Macadamia inazalisha mafuta ya kupikia na inatengeneza siagi na bado inaliwa.
Kwa sasa kuna Mwamko sana wa hiki kilimo na kwa baadae nahisi Tanzania inaweza kuja hata kuipiku Kenya.
Hio ni bei nilikutana nayo Super Market Arusha.
Nb: Macadamia ni karanga poli kwa jina jingine, ni family ya nuts, kama korosho, karanga na almond
View attachment 2661158View attachment 2661157View attachment 2661159