Nsinambi the Don
Member
- Mar 31, 2017
- 19
- 8
Pole sana lakini shida yenu watu hamfanyi utafiti wa mda gani nilime zao hili au lile. Kwa bongo kanuni ni Moja tu Lima kitu kipindi bei ikiwa ndogo usilime kipindi zao flani Lina bei kubwa kwanini? Nikupe mfano kipindi unalima kitunguu nafaham kabisa kuipata mbegu tu ilikuwa mtihani kwani ilikuwa haipoi ikifika dukani imeisha swali, wapi inaenda ni shambani kwani mbegu hailiwi. Sasa kwanini upande msimu ambao bei ni ndogo, mfano msimu huu baada ya watu wengi kulima kitunguu na kuwakata kwenye bei basi asilimia 80 hukata tamaa kutokana na kupata hasara au kutofika matarajio hivyo ukilima sasa ndio soko litakuwa zuriKilimo bana huwa nakiheshimu na huwa nakiogopa sana kuna kipindi ilikuja trend ya kilimo cha vitunguu bas bana
Tuna shamba la mzee hekar 12 mm nikachukua etari 4 nikalima vitunguu kwa mahesabu yangu skutaka magunia mengi nilisema tu nikipata gunia 30/40 za vitunguu zinatosha na kia gunia nikiuza shiling laki 1 bas nimetobao
Nikachukua vijana nikawaweka camp kila wiki naende watembelea napeleka chakula na pembejeo mwisho wa sku kilichokuja nitokea mh mmmmmh
Kwa ushauri wangu ni bora ufugaji kulko kilimo
Shida ya kilimo ni bei hushuka na kupanda mda wwte na mara nying bei ushuka
Ufugaji sku zote bei hupanda ni
Mara chache sana kukuta bei ya mbuzi ng’ombe au kondoo imeshuka