Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

Duhh Tani 5 halafu unasema kuwa hapo ndio ulilima kwa changamoto! !!


Mkuu si mihela hiyo? ...

Uko mkoa gani mkuu ? Jaribu kwenda katika masoko makuu ya mkoa ambao upo kisha watafute madalali Bila Shaka wataweza kutatua Tija yako
nafikiri kuna wakati unakurupuka kukomenti bila kusoma uzi. hivi juaoona kasema amelima Gairo ?
 
nafikiri kuna wakati unakurupuka kukomenti bila kusoma uzi. hivi juaoona kasema amelima Gairo ?
Jifunze kuwa na nidhamu. .Mwenye uzi ametulia tuli ''wewe una jibu kama vile una washwa washwa. ..mwenye uzi amekuzidi hekima --Ameona kuwa hayo ni mapungufu ya kawaida kwa binaadamu. .we are not perfect. .don't you know?
 
Hayo maharage ya njano....ni yale manene-mafupi au membamba-marefu?

Njoo pm nitakupa contacts tuwasiliane.
 
Jifunze kuwa na nidhamu. .Mwenye uzi ametulia tuli ''wewe una jibu kama vile una washwa washwa. ..mwenye uzi amekuzidi hekima --Ameona kuwa hayo ni mapungufu ya kawaida kwa binaadamu. .we are not perfect. .don't you know?
Kweli una kiherehere ww cha kuvamiaaa post boraa umeambiwaaa ukweli m
 
Kisima busara zako zinahitajika huku
 
Salaam kwenu wadau wa kilimo cha maharage ya njano.Ninaomba ushauri na mchanganuo nasaha kuhusu kilimo cha umwagiliaji wa maharage ya njano.
.
1)Mbegu zapandwa kg ngapi kwenye ekari1
(2)Tuta liwe na urefu/upana wa inch ngapi?
(3)Aina ya mbolea zinazofaa.
(4)Ekari1, kwa makisio ya chini,wawezapata magunia mangapi?
5)Mbinu zakutumia zinazoweza kunihakikishia mavuno mazuri ni zipi?

Natanguliza ahsante
Wenu,
INVESTPHILE
Usa River,Arusha
 
Ndugu zangu wanajamvi nimepata eneo ekari 2 nataka kulima Maharage shida ni makisio ya. mbegu kiasi gani ninunue? Je ni hatua zipi (spacing) zinashauriwa kitaalamu?
 
Habari ya leo ndugu wakulima,naomba kujuzwa kuhusu kilimo hichi hasa kwa mikoa ya iringa na mbeya
-upatikanaji wa mashamba na gharama za kukodi kwa ekari
-gharama zake mpaka kuvuna
-msimu wa kilimo icho kwa mkoa husika


Asanteni.
 
Kupata usaidizi kwenye mambo kama haya ni ngumu kwa sana kwa sasa.

Hebu 'search' kilimo husika kwenye hili jukwaa uone kama utaweza kupata dondoo mbili tatu.

Watu wako MMU.
 
Habari zenu wakuu nilikua naomba kuuliza kwa wadau mliopo ndani ya mkoa wa njombe kuhusu kilimo cha maharage ya njano....

Je...
Maharage hayo yanastawi vizuri huko njombe.!?
Vipi soko lake!?
Gharama za kuuza maharage ya njano kwa gunia lenye debe sita...?
Gharama za uendeshaji!?
Gharama za kukodi shamba!? Na ni eneo gani linafaa kwa kilimo hicho!?

Natanguliza shukran za dhati.
 
Mkuu, binafsi nataka kutinga kwenye hiki kilimo, japo sijapata taarifa zaidi kuhusu njombe. Nataka kulima Arusha, labda kama kuna wadau wanajua zaidi kuhusu hii mishe kwa pande za njombe tunaomba msaada watujuze tujifunze zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…