Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

Mwaka huu nimepata gunia 6 ya zao hili na wakati navuna toka shambani nimepewa kila gunia 140,000/

Yaelekea ina bei sana kule Nchi Kenya na hata kwingineko!
Ngoja wadau waje!

Mkuu Karibuu tuungane mkono dawa za kilimo
0742645349
Nipo Dsm
 
Jaman kwa wake mlioko mbeya km kuna aliepanda maharage November vp maendeleo au Bado mvua ni changamoto
 
Hivi kisima bado upo! Hapa utaua mtu aiseee hufai kabisa
 
Km utunzaji nimzuri wa mashamba nahutegemei mvua instead unamwagilia mwenyewe hapo utaweza vuna sana. ..shida tuliowengi tunategemea mvua nahua hazinamuda maalum
 
Kaka umenikuna Sana.Mungu akutie nguvu.Nataka niingie kwenye kilimo maana muajiri anatumia muda wangu Sana alafu mshahara nyanya.
 
Habari ndugu, tafadhali naomba kuuliza kama kuna mtu amewahi kubadili mbolea ya urea kuwa ya maji, na akaitumia kama foliar katika maharage. Naomba anielekeze jinsi ya kutengeneza na mwitikio wa maharage ulikuwaje baada ya matumizi ya hiyo foliar.
 
kwa chemical reaction, urea + water = carbon dioxide and amonia (mkojo)

NH2CONH2+H2O→2NH3+CO2 , mkojo (amonia) hua inaunguza vitu, wazee wa kemia watatueleza vzr ila nafikiri haitakua mbolea nzuri sana​

shukrani mkuu
 
Kisima umetoa idea kubwa sana nimeielewa ngependa kama ntapata mawasiliano yako
 
Kaka mkuu Habar ninazo dawa za kilimo mmi ntaa uza kwa bei ya jumla tuu
Snow thunder snow tiger round up za kutosha
nk
Naomba tuwa siliane 0742645349
natafuta mashine ndogo za kupalilia mahindi nitazioataje
 
Natafuta maharage kama tani 20. Mwenye taarifa za upatikanaji anicheki 0755 225511
 
Mwaka huu nimepata gunia 6 ya zao hili na wakati navuna toka shambani nimepewa kila gunia 140,000/

Yaelekea ina bei sana kule Nchi Kenya na hata kwingineko!
Ngoja wadau waje!
Vipi kwa Ardhi ya Dodoma yanaweza kustawi kweli?
 
Kilimo kinalipa sana,ukikiotea,kinakutoa.
nijipange.
 
Mkuu naomba contact zako
 
Angalia PM yako mkuu Kisima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…