Tetesi: kilimo cha mahindi

Tetesi: kilimo cha mahindi

muhuni mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
300
Reaction score
166
jamani me nataka nianze kilimo cha mahindi. je mil.1 iy hela nnawez kulima eneo kiasi gan kwakufuata kilimo cha kisasa nafaida unawez kupat maxmam gunia ngap? msaada tafadhal
 
jamani me nataka nianze kilimo cha mahindi. je mil.1 iy hela nnawez kulima eneo kiasi gan kwakufuata kilimo cha kisasa nafaida unawez kupat maxmam gunia ngap? msaada tafadhal
Kilimo cha mahindi hakina uhakika sana zaidi ni kudra kama huna mifumo ya umwagiliaji
 
Sana sana,yaani mtama au alizeti,ukishaota tu ukafika uref wa futi 2 bas una uhakika wa kuvuna hata mvua ikizingua,tofaut na mahindi mvua ikizingua nayo yanakuzingua!
daaaah saf kwakwer nkilim alizet hek1 nawez kutumia kias gan nabaad ya kuvun unawez kupat kias gan
au mtama heka1 unatumia kias gan nafaida pia?
 
Mkuu habari.
Ili upate taarifa sahihi na za uhakika inakubidi ufike kwenye maeneo husika unakotaka kulima ili uongee na wakulima. Gharama na mavuno hutofautiana kati ya sehemu moja na nyingine hivyo kwa jf hutapata taarifa sahihi.

Ila ni mtazamo wangu tu.
 
daaaah saf kwakwer nkilim alizet hek1 nawez kutumia kias gan nabaad ya kuvun unawez kupat kias gan
au mtama heka1 unatumia kias gan nafaida pia?
Alizeti kwa kila hekta moja unaweza kuvuna mpaka tani 4 na Mtama mpka tani 5 kwa kila hekta endapo ukalima kitaalamu.
 
Mpunga ukipata sehemu nzuri yenye maji mengi unalima mara 2 kwa mwaka. Kwa mahindi utakula hasara ni bora ulime nyanya sbb mahindi ulimaji wake unategrmea mvua kwahiyo kwa miaka hii mvua hailweki kabsa.
Asnt
 
Back
Top Bottom