muhuni mpya
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 300
- 166
jamani me nataka nianze kilimo cha mahindi. je mil.1 iy hela nnawez kulima eneo kiasi gan kwakufuata kilimo cha kisasa nafaida unawez kupat maxmam gunia ngap? msaada tafadhal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilimo cha mahindi hakina uhakika sana zaidi ni kudra kama huna mifumo ya umwagiliajijamani me nataka nianze kilimo cha mahindi. je mil.1 iy hela nnawez kulima eneo kiasi gan kwakufuata kilimo cha kisasa nafaida unawez kupat maxmam gunia ngap? msaada tafadhal
as mzee kilimo gan kinawez kuw cha uhakika vp kuhus nyanyaKilimo cha mahindi hakina uhakika sana zaidi ni kudra kama huna mifumo ya umwagiliaji
Mpunga ukipata sehemu nzuri yenye maji mengi unalima mara 2 kwa mwaka. Kwa mahindi utakula hasara ni bora ulime nyanya sbb mahindi ulimaji wake unategrmea mvua kwahiyo kwa miaka hii mvua hailweki kabsa.Mpunga vipi?
Alizeti na mtama,sahau kuhusu nyanya.as mzee kilimo gan kinawez kuw cha uhakika vp kuhus nyanya
ok asante mtama nao huwa uko vzr?Alizeti na mtama,sahau kuhusu nyanya.
Sana sana,yaani mtama au alizeti,ukishaota tu ukafika uref wa futi 2 bas una uhakika wa kuvuna hata mvua ikizingua,tofaut na mahindi mvua ikizingua nayo yanakuzingua!ok asante mtama nao huwa uko vzr?
daaaah saf kwakwer nkilim alizet hek1 nawez kutumia kias gan nabaad ya kuvun unawez kupat kias ganSana sana,yaani mtama au alizeti,ukishaota tu ukafika uref wa futi 2 bas una uhakika wa kuvuna hata mvua ikizingua,tofaut na mahindi mvua ikizingua nayo yanakuzingua!
Alizeti kwa kila hekta moja unaweza kuvuna mpaka tani 4 na Mtama mpka tani 5 kwa kila hekta endapo ukalima kitaalamu.daaaah saf kwakwer nkilim alizet hek1 nawez kutumia kias gan nabaad ya kuvun unawez kupat kias gan
au mtama heka1 unatumia kias gan nafaida pia?
Mpunga nahis unaghalama sanaMpunga vipi?
AsntMpunga ukipata sehemu nzuri yenye maji mengi unalima mara 2 kwa mwaka. Kwa mahindi utakula hasara ni bora ulime nyanya sbb mahindi ulimaji wake unategrmea mvua kwahiyo kwa miaka hii mvua hailweki kabsa.
AsntAlizeti kwa kila hekta moja unaweza kuvuna mpaka tani 4 na Mtama mpka tani 5 kwa kila hekta endapo ukalima kitaalamu.