Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,030
- 2,200
Acha kulalamika kwenye keyboard mkuu ,mi nalima papai huu mwaka wa tatu sijawahi kudodewa na papai .Kama unazo nikupe connection
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Marine, nisamehe kwa swali hili, mbona kama unalima kienyeji sana? Tofauti ni waelzavyo wataalam eti kulima kwa mistari na nafasi maalum kutoka mche hadi mche. Tueleze siri yako ndani ya hiyo miaka mitatu.Yaani ni vurugu huku navuna kule naotesha mingine inatoa maua ...papai Ni zao la biashara na Ni tunda kwa familia . kilimo chake no stressView attachment 1077174View attachment 1077175View attachment 1077176View attachment 1077177View attachment 1077178View attachment 1077179View attachment 1077180
Duh! Usinyunyizie sumu, weka dawa mwana JF hata kama ni natural kama hizo alizo kutajia Marine.Shukran mkuu nita jaribu kuweka j2 maana nimesha nyunyuzia sum kama mbili lakin bado!
Tupe maujuzi kuanzia mwanzo mpka mzigo unaingia sokoni mkuuuAcha kulalamika kwenye keyboard mkuu ,mi nalima papai huu mwaka wa tatu sijawahi kudodewa na papai .Kama unazo nikupe connection
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Soko lake la uhakika ni wapi mkuu ili na sisi tuanze kuandaa mashamba?Acha kulalamika kwenye keyboard mkuu ,mi nalima papai huu mwaka wa tatu sijawahi kudodewa na papai .Kama unazo nikupe connection
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
😂😂😂 SAWA MKUU DAWA NAYO NI SUMU MKUUDuh! Usinyunyizie sumu, weka dawa mwana JF hata kama ni natural kama hizo alizo kutajia Marine.
Mkuu nimelima kwa mstari na Kuna mengine nitaotesha baada ya week 2 nitaweka picha ,najaribu kuotesha kwa bunches nisikose matunda kwa mwaka mzima,Marine, nisamehe kwa swali hili, mbona kama unalima kienyeji sana? Tofauti ni waelzavyo wataalam eti kulima kwa mistari na nafasi maalum kutoka mche hadi mche. Tueleze siri yako ndani ya hiyo miaka mitatu.
Nipo Tanga, mbegu nitapata wapi?Hiyo mbegu Ni malikia F1
0755404226 nipigieNipo Dar miche nitaipata Wapi wakuu?
Samahani mbegu nzuri sokoni ni ipi?
Big up keep it Up.Yaani ni vurugu huku navuna kule naotesha mingine inatoa maua ...papai Ni zao la biashara na Ni tunda kwa familia . kilimo chake no stressView attachment 1077174View attachment 1077175View attachment 1077176View attachment 1077177View attachment 1077178View attachment 1077179View attachment 1077180
Hivi zao la papai linachagua hali ya hewa au? Naweza kulima sehemu yoyote iwe kichanga, tifutifu au mfinyanzi?Acha kulalamika kwenye keyboard mkuu ,mi nalima papai huu mwaka wa tatu sijawahi kudodewa na papai .Kama unazo nikupe connection
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
We umelima za kwako nyingi wapi na umekosa soko? Na kwa kutumia simu yako umewezaje ku view shambani langu lote ?
Acha ujinga, tatizo jf hakuna utakakopata great thinker nimeingia leo huku kwenye kilimo, nakuta sawa na jamvi la siasa. Tubadilike jamani kuna walati tuwe serious mpaka tushangaane sio mazoea tu kila mahala hatutafika.Hivyo vimapapai ulivyo vuna vinaonesha miti uliyo nayo hata 10 haizidi.
shamba lenyewe kwanza chafu