Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

Yaani ni vurugu huku navuna kule naotesha mingine inatoa maua ...papai Ni zao la biashara na Ni tunda kwa familia . kilimo chake no stressView attachment 1077174View attachment 1077175View attachment 1077176View attachment 1077177View attachment 1077178View attachment 1077179View attachment 1077180
Marine, nisamehe kwa swali hili, mbona kama unalima kienyeji sana? Tofauti ni waelzavyo wataalam eti kulima kwa mistari na nafasi maalum kutoka mche hadi mche. Tueleze siri yako ndani ya hiyo miaka mitatu.
 
Marine, nisamehe kwa swali hili, mbona kama unalima kienyeji sana? Tofauti ni waelzavyo wataalam eti kulima kwa mistari na nafasi maalum kutoka mche hadi mche. Tueleze siri yako ndani ya hiyo miaka mitatu.
Mkuu nimelima kwa mstari na Kuna mengine nitaotesha baada ya week 2 nitaweka picha ,najaribu kuotesha kwa bunches nisikose matunda kwa mwaka mzima,
Mtanisamehe muda mwingi natumia shambani Kama nikichelewa kujibu usilalamike
 
Matamu 100%
IMG_20190503_073758_5.jpeg
IMG_20190216_083317_5.jpeg
 
Mkuu tuwasiliane hata mimi ninayo mipapai kwangu natafuta soko
 
Hongera sana kwa hatua uliyopiga, umenihamasisha nami nirudi kwenye papai, miaka ya nyuma nililima papai lakini kuna mahali nilikosea, ila sasa nitarudi kwa umakini zaidi - hongera sana na asante kwa kutushirikisha.
 
Acha kulalamika kwenye keyboard mkuu ,mi nalima papai huu mwaka wa tatu sijawahi kudodewa na papai .Kama unazo nikupe connection

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hivi zao la papai linachagua hali ya hewa au? Naweza kulima sehemu yoyote iwe kichanga, tifutifu au mfinyanzi?
 
Unajua kuna wengine wanafanya utani naomba uwachukulie poa.
We umelima za kwako nyingi wapi na umekosa soko? Na kwa kutumia simu yako umewezaje ku view shambani langu lote ?
 
Hivyo vimapapai ulivyo vuna vinaonesha miti uliyo nayo hata 10 haizidi.
shamba lenyewe kwanza chafu
Acha ujinga, tatizo jf hakuna utakakopata great thinker nimeingia leo huku kwenye kilimo, nakuta sawa na jamvi la siasa. Tubadilike jamani kuna walati tuwe serious mpaka tushangaane sio mazoea tu kila mahala hatutafika.
 
Back
Top Bottom