Sijakukatalia hata mstari mmoja wa mashairi yako ,nimekuomba weka picha ya papai zako 1000 na pia nimekusifu kwa kuweza kutumia simu yako ku view shamba lako....sibishani na wewe maana sijahitaji hata Mia yako
Nafikiri ujinga unao wewe. mkifahamishwa mnajifanya mnajua. usinitafutie band tafadhaliAcha ujinga, tatizo jf hakuna utakakopata great thinker nimeingia leo huku kwenye kilimo, nakuta sawa na jamvi la siasa. Tubadilike jamani kuna walati tuwe serious mpaka tushangaane sio mazoea tu kila mahala hatutafika.
huna uzoefu unazungumza nini sasa. anyway kilimo chema cha papai.Mpuuze huyo hana analolijua, Mimi namuombea msamaha kwa niaba yake.
Unaonaje ukatushirikisha huo uzloefu wako kuhusu kilimo?huna uzoefu unazungumza nini sasa. anyway kilimo chema cha papai.
FYI mimi sio mkulima wa papai ila ni mkulima na nimepitia changamoto nyingi. tatizo watu huwa mnatafuta sifa humu JF
Mkuu majivuno hayana tija.Nimesoma comment yako moja unasema wewe kwenye kilimo ni level nyingine na haulimi Papai,Lakini sijui kama umewahi kushare na watu hapa wakanufaika.Huyu pamoja na mapapai yake kaona atumegee ushauri .Usisahau kuleta mrejesho baada ya kujifunza. yaani unajidhihirisha ni jinsi kani ulivyo mtupu.
anyway sina mda wa kubishana na wapuuzi kama wewe.
hiyo hapo chini ni screenshot nimepiga sasa hivi.Mkuu majivuno hayana tija.Nimesoma comment yako moja unasema wewe kwenye kilimo ni level nyingine na haulimi Papai,Lakini sijui kama umewahi kushare na watu hapa wakanufaika.Huyu pamoja na mapapai yake kaona atumegee ushauri .
Na watu wa jinsi yako unakuta ni majigambo tu hawana lolote.
Weka na picha bas pengine una miche 200Mimi ni mkulima wa mapapai ya kisasa mbegu ya Malkia na Carina natafuta masoko ya jumla nipo kibaha Mkoa wa Pwani kwa mawasiliano 0686301689.
miche ipo 500 bos