asante sana johnmashilatu, bado naendelea kupata ushauri maana sina uzoefu na ili ila nashikuru naanza kupata pichaKaribu sana.
Nina uzoefu kidogo Wa hii kitu. Sio kusomea nimefanya mwenyewe. Leo tuongelee mbegu.
Nakushauri nunua mbegu dukani zina Faida zaidi ya kuchukua za waitikaji au kula Papai na kuchukua mbegu
Ukinunua ziweke ktk maji kwa siku tano lakini badili Maji kila siku. Baada ya siku hizo zifunge ktk kitambaa kwa siku tatu.
Ukimaliza weka kwenye viriba ndio utapata matokeo mazuri. Nilinunua red royale f1, muuzaji hakunipa maelekezo hayo haikuota hats moja!
Uzoefu wangu unaonyesha kuwa Miche inayouzwa kwenye vitalu vingi haina u ora lakini kubwa utapata madume 20- 30 katika miti 100. Hii ni hasara kubwa.
Nunua mbegu kwenye maduka ya pembejeo zinauzwa kuanzia she 5000 had 16000.
Karibu na jipange kufanya kazi sio kutumia simu kufanya Kilimo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]....Tanzania mashamba yamejaa teeeelee,kwanini usilime wewe unauza mbegu tu
..,hahahahaha...we sikuwezi,mwenzangu una nyota ya Kiba;MFALME![emoji23] [emoji23] [emoji23]
We jamaa una majibu ya kuudhi sana.. Kuna uzi fulani umeniquote nimeshindwa mpaka kukujibu
Sio chini ya matunda 250 ikiwa yatatunzwa vizuri.Mti wa mpapai mmoja unazaa wastani wa matunda mangapi kwa mwaka
Huu ni Uongo uliopitiliza, hakuna Mche unaozaa mapapai 250 kwa mwaka, usidanganye watu na hesabu zako za mezani ili wanunue mbegu kwako.Sio chini ya matunda 250 ikiwa yatatunzwa vizuri.
Maji ni ya lazima na dawa kwa mbaali.
Mkuu mi sio muuza mbegu ndg ila kwa hiyo estimation ipo mule mule. Ninayo mipapai hapa kwangu kama mashina 10 hivi yanazaa hakuna mfano ndo maana nikatoa tathmini hiyo kulingana na lumbesa ya matunda inayosheheni kwenye kila shina.Huu ni Uongo uliopitiliza, hakuna Mche unaozaa mapapai 250 kwa mwaka, usidanganye watu na hesabu zako za ezani ili wanunue mbegu kwako.
We kama unauza begu basi sema tu unauza mbegu, lakini sio kudanganya.
Pia waambie kua papai ni one of the most perishable fruits duniani