Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

Nimemtoa challenge hapa Kama una papai Ni pm number yako nikupe mteja ni mtu mmoja tu amenipm number yake.hayo maandishi wanaandika walioshidwa Kama wewe ambao hawana hata kiwanja,papai ni tofauti Sana na tikiti ,chamoto za papai Ni tofauti na tikiti,nyanya,vitunguu,mahindi nk.
 
Mkuu nimeotesha ya kwangu machache ya majaribio nyumbani nina mpango wakuotesha mengi Ila kuna huu ugonjwa ume yavamia sijuwi nitumie dawa gani !
1077910
 
Usidanganywe kulima ukalima utalia
Maana huwa hakuna uhalisia
 
kilimo cha tanzania stress tupu....usipoliwa kwenye mbegu...watakupiga kwenye madawa au mbolea...viunzi vyote ukiviluka salama...utalima kisha utapangiwa bei na watu wa mjini...
Na wa mjini unakuta kitu cha kuuza 3000 wao wananunua kwako 1000 had 1500. Wenyewe izo tabu zote hawajapitia ila wanataka faida zaid ya mkulima. Dawa ni kuadd value au kujiuzia mwenyewe.
 
Kilimo kwenye mahesabu ya kwenye makaratasi ni chepesi sana na faida kwa mamilioni ya shilling. Kuna challenge kubwa mno kwenye kilimo hiki - sikuogopeshi ila jaribu walau miche 100 tu uone mziki wake.
 
Na wa mjini unakuta kitu cha kuuza 3000 wao wananunua kwako 1000 had 1500. Wenyewe izo tabu zote hawajapitia ila wanataka faida zaid ya mkulima. Dawa ni kuadd value au kujiuzia mwenyewe.
Ukitaka ukabe faida yote Ni kiasi Cha wewe kwenda kutega na mzigo wako sokoni na ukauza hiyo 3000 ,kwa kuwa Nina shughuli nyingi nawauzia 1500 na wao wanuza 3000 sioni hasara yeyote kwangu ,hata simu unayotumia watu wamekula faida kabla haijakufikia
 
Mkuu nimeotesha ya kwangu machache ya majaribio nyumbani nina mpango wakuotesha mengi Ila kuna huu ugonjwa ume yavamia sijuwi nitumie dawa gani !
View attachment 1077910
Mkuu samahani kwa kuchelewa kujibu ila hao wadudu Wana dawa nyingi,mkojo wa sungura,mwarobaini ukitwanga kwenye kinu Kisha unaweka maji kidogo unanyunyuzia ,sabuni ya unga yeyoye unachanganya Kama ya kufulia Kisha unanyunyuzia,Kuna dawa inaitwa duduall kichupa kidogo wanauza sh 5000 unaweka 5ml kwenye Lita 20 za maji
 
Shukran mkuu nita jaribu kuweka j2 maana nimesha nyunyuzia sum kama mbili lakin bado!
 
Back
Top Bottom