matikiti yana tabia ya kupasuka wakati wa maska. Kama utalma yapandshie kwe bed lefu na uliweke matandazo. Nakushaur tumia mbegu ya sentinel f1 n nzur kubwa na soko lake la uhakika.
Mkuu hapo bado sijakupata, una maanisha nini?
nafikiri ana maanisha ulime kwenye matuta na utandaze nyasi tutani hii inasaidia matunda yasipate ubichi kwani hupasuka
Naombeni msaada kwa watalaam wa kilimo! Nataka kuotesha miche ya tikiti maji 10,000/= mkoani Shinyanga je,
1. Itanigharimu kiasi gani kuitunza hadi ikue na kufikia mauzo??
2. Shamba ninalo ekari 3 je litatosha??
3. Mbegu zake zinapatikana wapi zaidi??
4. Soko la tikiti maji sasa zuri liko mkoa gani?
5. Angalau kwa kiwango cha chini tikiti moja naweza kuiuza kwa shliingi ngapi??
Asanteni wapendwa!
Nalimia mkoani mkuu Malila
Safi mkuu,
Changamoto kubwa ni kupasuka, tikiti la masika lina soko zuri, nimeona hata mikoani sasa hivi tikiti linaliwa sana, kwa hiyo umelenga.
Wabongo kujifanya wajuaji ndio tunakufa maskini kisa una degree kama unaona wenzio wanacho discuss hakina tija lete mawazo mbadala kuliko kupinga bila alternative solutions. Ni kujiabisha tubadilike. Think positive
hivi ndio vitu tunataka kusikiaJamani habarini za wkend.., naomba kujua mche wa tikiti maji unaweza kuvunwa mara ngapi matunda yake?
Kwa mfano embe zinavunwa kila mwaka, ndizi unavuna mara moja tu na mche unakwisha kazi yake. Vipi kwa matikiti maji, unavunwa mara ngapi na kwa kipindi/interval gani?
Nataka kulima, yanalipa sana nisaidieni tafadhali.
safi saanaMatikiti ni matunda, japo tunasema ni mboga kutokana na njia zinazotumika kuyazalsha kwan siyo tofaut na mboga.
Matunda yanaanza kukomaa kuanzia siku 80-120 kufuatana na aina, kama sugarbaby inakomaa mapema. Na il kupata matunda makubwa na yenye ubora, tunashaur kwa mti mmoja usiwe na matunda zaidi ya matano ambayo interval ya kuvuna ni siku hadi 10 kwani uvunaj ni had miezi miwil kwa mti mmoja. Hector 1=8-12 tan za matunda.
Kwa maswali zaidi kuhusu kilimo cha mazao tuwasiliane.
Je mkuu Malila,Safi mkuu,
Changamoto kubwa ni kupasuka, tikiti la masika lina soko zuri, nimeona hata mikoani sasa hivi tikiti linaliwa sana, kwa hiyo umelenga.
Habari zenu wadau.
Wakuu mimi nataka kujaribu kulima tikiti maji kipindi hiki cha masika. Nitafanya kilimo cha kisasa. Mbegu ni Sukari F1 hybrid.
Tatizo nimekuwa nikipata ushauri tofauti kuhusu kipindi hiki ambacho masika inakaribia kuanza (Takribani mwezi mmoja baadaye) Wengine wanasema Matikiti hayapendi mvua nyingi, wengine wanasema kama nitayahudumia kwa madawa hakutakuwa na tatizo.
Wakuu naombeni mawazo yenu, je inawezekana nikafanikiwa kuvuna kipindi hiki cha masika?
Natanguliza Shukrani.
Kama umeamua kulima tikiti la masika tumia mbegu maalum kwaajili ya masika.kwani hizi za kawaida zitakusubua.mbegu hizo mpaka utoe oda kiwandani wakuzalishie.
Mkuu kumbe kuna mbegu maalum za masika!? Ndo zikoje!? Kkwanda gani wanatengeneza!?