Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Mdau wa mkulanga jaribu kunicheck kwa number hii pls 0657534233
 
Nataka nianze ukulima huu wa matikiti mmeniamasisha sana shukran wakuu naombeni tuwasiliane kwa mafunzo zaidi kwenye hizo contact hapo juu shukrani sana wakuu
 
Ninatengeneza Mbolea ya kuku halisi ya samadi iliyo katika tembe (pellets)

Ni ina kiwango bora n aufanisi katika mimea yote na imetoa matokeo mazuri katika zao la tikiti maji (water melon) pia ni nzuri na yenye tija katika kilimo cha mboga mboga katika greenhouse na open field pamoja na Maya na gadeni majumbani ..... imeondolewa joto na kutengenezwa kwa kusagwa na kufinyangwa kwa joto katika umbo LA tembe na kupakiwa katika Mifuko ya plastiki ...

Green Grow Manure Pellets

Now available at affordable price ....

Organic Chicken and Cow Manure pellets ..... all composted to improve soil, providing food and growing plants organically .... it is low in odour, dustless and slowly release nutrients with balanced carbon to nitrogen ratio

It has an advantage of Easy transportation and spreading, settles and penetrates as required to the soil and can be applied conveniently to your garden pots, home gardens, lawn, green house including all horticulture and landscaping fields

Well packed in poly bags available in 2Kg & 5Kg Packs
 
Wanajamii kwanza natanguliza pongezi kwa huu uzi kwa jinsi ulivyonijenga kimawazo. Kwa sasa niko na hekari tano (5) za tikitimaji mbegu ni SUKARI F1 inatolewa na East Africa Seeds Company. Na kufikia mwisho wa mwezi huu wa August 2014 nitakuwa navuna. Mbegu hii hutoa matunda yenye wastani wa kilo 7 kwa moja. Shamba langu liko kisiwani Ukerewe wilaya ya mwanza. Hivyo natafuta wanunuzi/wateja. Napatikana kwa +255 784 842 167 au kwa njia pepe ssifuel@gmail.com

DSC07196.JPGDSC07196.JPGDSC07196.JPGDSC07196.JPGIMG-20140731-WA0000.jpgIMG-20140731-WA0000.jpg
 
Ninatengeneza Mbolea ya kuku halisi ya samadi iliyo katika tembe (pellets)

Ni ina kiwango bora n aufanisi katika mimea yote na imetoa matokeo mazuri katika zao la tikiti maji (water melon) pia ni nzuri na yenye tija katika kilimo cha mboga mboga katika greenhouse na open field pamoja na Maya na gadeni majumbani ..... imeondolewa joto na kutengenezwa kwa kusagwa na kufinyangwa kwa joto katika umbo LA tembe na kupakiwa katika Mifuko ya plastiki ...

Green Grow Manure Pellets

Now available at affordable price ....

Organic Chicken and Cow Manure pellets ..... all composted to improve soil, providing food and growing plants organically .... it is low in odour, dustless and slowly release nutrients with balanced carbon to nitrogen ratio

It has an advantage of Easy transportation and spreading, settles and penetrates as required to the soil and can be applied conveniently to your garden pots, home gardens, lawn, green house including all horticulture and landscaping fields

Well packed in poly bags available in 2Kg & 5Kg Packs

Bei ikoje mkuu
 
kwa hizi manure, unapatikana wapi,contacts; na hadi sasa una supply wapi na wapi.
 
Back
Top Bottom