Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ondoa shaka soko umepata yako sehemu gani? Ni pm number yako kuna mtu anayenunua siwezi weka namba yake hapa bila idhini yake.
Karibu mkuu ila utaonja kipande na mengine utanunua.naomba matikiti mawili ...niko bagamoyo
Yapo kimara Suka mkuu namaanisha nimeshayavuna na kuyasogeza mjini. Nitashukuru sana kama nitampata mnunuzi.Mkuu ondoa shaka soko umepata yako sehemu gani? Ni pm number yako kuna mtu anayenunua siwezi weka namba yake hapa bila idhini yake.
Hello wana JF
Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wale wote waliokuwa wanawapa watu moyo wa kufanya kilimo kwani hatimaye nami nimelima Tikiti na sasa nimevuna. Ingawa mavuno hayakwenda vizuri kutokana na mvua.
Sasa natafuta soko la matikiti yapatayo 900 yenye uzito wa kuanzia kilo 3 mpaka 7. Tafadhali naomba msaada wa kujua wapi naweza kupata soko kabla hayajaniharibika.
View attachment 202277
pole sana! ungekuwa Mwanza huwo mzigo hata sokoni usingefika ungenunuliwa ukuhuko shambani.
pole sana! ungekuwa Mwanza huwo mzigo hata sokoni usingefika ungenunuliwa ukuhuko shambani.
Mbona nilishasema Niko Dar mkuu.mkuu sema uko wapi halafu tukuunganishe
Mjasiriamali mwenzangu Livanga.
Umekosea kidogo !
Ulitakiwa useme unayo matikiti au shamba la matikiti.
Halafu uelezee sehemu lilipo, bei ya jumla, ukubwa wa matikiti, kiasi kilichopo na mawasiliano yako.
Baada ya hapo ungeona utitiri wa wateja.
Vinginevyo hapo umekaribisha madalali watakaokukatisha tamaa ili wanufaike wao
wakuu naomba mnisaidie dawa.nina tikiti zangu nimelima bagamoyo fukayosi zmestawi vema sema yanapasuka.nisaidieni wandugu yanazidi kupasuka.