mkuu ubarikiwe kwa kutokuwa mchoyo kwa unayoyajua!Nipm sasa hivi nikupe namba ya mtu Anatolia Hiyo na kufanikiwa ukiongea naye kwa simu atajibu maswali yako tote,siwez weka hapa namba yake bila ruksa Kama uko serious ni pm nikupe namba harafu uje kuleta majibu umu
mkuu ubarikiwe kwa kutokuwa mchoyo kwa unayoyajua!
hili tunda lilinitoa jasho,
nilipata changamoto nyingi sana wakati naanza kulima,nilikuwa nalima maeneo ya Mwasonga Kigamboni,nilitumia mbegu ya Sukarii F1.ila inabidi ukubaliane na changamoto zitakazo kukabiri,
kwanza kuna panya wanao kula mbengu uliyo panda ile siku ya kwanza, kwa hiyo inabidi ulinde ndani ya siku 3 hadi mbegu ichepue,
kuna ngedere hawa wanakuja baaada ya tunda kuota,kuna fuko hawa wanakuja baada ya tunda kuiva.kuna mvua,kuna magonjwa harafu kuna kuoza kwa matikiti.yani changamoto zipo nyingi,mie nilikata tamaana maana ilikuwa kila siku ni pressure tu. nataka nijaribu kilimo kingine ila siyo tikiti ambalo linataka uache kazi ufanye kazi.
Ndugu ni kuangalia jinsi gani utapambana na matatizo hayo au tafuta shamba lisilo na hayo matatizo,nimelima kama sehemu ya special project na nimefanikiwa kuzalisha tikiti ya kg12 kwa kila moja though yapo pia machache,nimetumia hiyo hiyo Sukari F1 ndugu
Ndugu ni kuangalia jinsi gani utapambana na matatizo hayo au tafuta shamba lisilo na hayo matatizo,nimelima kama sehemu ya special project na nimefanikiwa kuzalisha tikiti ya kg12 kwa kila moja though yapo pia machache,nimetumia hiyo hiyo Sukari F1 ndugu
hili tunda lilinitoa jasho,
nilipata changamoto nyingi sana wakati naanza kulima,nilikuwa nalima maeneo ya Mwasonga Kigamboni,nilitumia mbegu ya Sukarii F1.ila inabidi ukubaliane na changamoto zitakazo kukabiri,
kwanza kuna panya wanao kula mbengu uliyo panda ile siku ya kwanza,kwa hiyo inabidi ulinde ndani ya siku 3 hadi mbegu ichepue,
kuna ngedere hawa wanakuja baaada ya tunda kuota,kuna fuko hawa wanakuja baada ya tunda kuiva.kuna mvua,kuna magonjwa harafu kuna kuoza kwa matikiti.yani changamoto zipo nyingi,mie nilikata tamaana maana ilikuwa kila siku ni pressure tu. nataka nijaribu kilimo kingine ila siyo tikiti ambalo linataka uache kazi ufanye kazi.
ulitumia kiasi gan kuandaa shamba
Ndugu ni kuangalia jinsi gani utapambana na matatizo hayo au tafuta shamba lisilo na hayo matatizo,nimelima kama sehemu ya special project na nimefanikiwa kuzalisha tikiti ya kg12 kwa kila moja though yapo pia machache,nimetumia hiyo hiyo Sukari F1 ndugu
Kwa kitabu cha ukulima wa matunda Kama matikiti maji,embe,chungwa,Migomba,nanasi,papai na pensheni unaweza kuniPM
asante Neema, je umeishawahi kufanya hivi? Edmund anaruka mita 2 kwa kila shimo ila mbegu 2 kwenye shimo moja. Mie nadhani hii inakuwezesha kupita ukipulizia dawa nk. Labda useme mita 1 ila nusu? Tupe uzoefu wako kwenye hili