Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko


Ndugu waweza nisaidia business plan ya water melon, ntatanguliza shukrani, please nitupie kupitia medardaristides@yahoo.com
 
Braza naomba tuongee ibox
 
Kama kuna mtu anafanya hiki kilimo naomba anisaidia njia sahii zinapaswa kufatwa ili kupata tija.
 
Hakikisha una maji muda wote.....nakushauri tumia drip irrigation

Madawa......

Mbolea........

Idea ya soko la sivyo itakula kwako

Mwisho tafuta thread humu ndani zipo zinazozungumzia matikiti
 
Habari za muda huu,

Wanandugu naomba yoyote mwenye utaalamu wa kilimo cha matikiti anisaidie mawazo.

Nashukuru.
 
Anayetaka mchanganuo na maelezo ya kilimo cha tikiti ni pm email nakutumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…