Hebu tutoe tongotongo mkuuKama kuna kilimo kinaweza kubadili maisha yako ni matikiti ila watu bado hamajajua na wakati mwingine masoko bado hayajawa rasmi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtaji wa milion moja nanusu unaweza kulima hekari mbili ambazo ukipanda kitaalam unakuwa na miche 4400 kila mche ukizaa mtoto mmoja inamaana unakuwa namatikiti 8800 kila tikiti ukiuza kwa bei ya sh 1000 unakuwa na sh 8.800.000 na ukiuza kwa 2000 unakuwa na sh17.600.000 huo ni mfano mwepesi nanikwa muda wa siku 70 tu
Haya mahesabu practically yanafanya kazi? Sijawahi lima matikiti Nataka nipande kama nusu eka ili nijifunze kwanza...Kwa mtaji wa milion moja nanusu unaweza kulima hekari mbili ambazo ukipanda kitaalam unakuwa na miche 4400 kila mche ukizaa mtoto mmoja inamaana unakuwa namatikiti 8800 kila tikiti ukiuza kwa bei ya sh 1000 unakuwa na sh 8.800.000 na ukiuza kwa 2000 unakuwa na sh17.600.000 huo ni mfano mwepesi nanikwa muda wa siku 70 tu
Ila changamoto ya maeneo mengi hapa nchini watu wanashindwa kulima kwa sababu ya kukosa maeneo yenye maji ya uhakika maana bila maji mengi hata kama unamtaji wa milioni miamoja utachemka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye vitendo ni kazi ila ukitaka kulima kwa uhakika jitahidi upate ushauli kwa bwana shamba aliekaribu naweweHaya mahesabu practically yanafanya kazi? Sijawahi lima matikiti Nataka nipande kama nusu eka ili nijifunze kwanza...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna shaka, nitatumia bwana shamba na pia wakulima wazoefu wanaonizunguka ili nipate kujifunza kutoka kwao.....Kwenye vitendo ni kazi ila ukitaka kulima kwa uhakika jitahidi upate ushauli kwa bwana shamba aliekaribu nawewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Asali f1 hakuna kitu mie nshalima ovyo MBEGU bora kwa Mimi kwanza ni sukar f 1 ndo zinafuata Queen Sugar, baltonHabari za asubuhi mkuu.. Vipi kuhusu hii mbegu ya asali f1... Uzaaji wake na soko lake Kwa ujumla likoje na linazaa baada ya muda gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisima cha wabobez wa kilimo cha matikitiNafurahia kuwa humu na nyie najifunza mengi
Asante sana kwa kunipa mrejesho kuhusu mbegu bora za tikiti..Asali f1 hakuna kitu mie nshalima ovyo MBEGU bora kwa Mimi kwanza ni sukar f 1 ndo zinafuata Queen Sugar, balton
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakupa mrejesho November... Ila pia nitakuwa nakupa update kila hatua
Umesha panda mie napanda tareh 10Nitakupa mrejesho November... Ila pia nitakuwa nakupa update kila hatua
Sent using Jamii Forums mobile app