Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu
haupo sahihi kabisa .... rekebisha hesabu zako tena
1 acre = 4046 sqm (square meters)
one acre ni sawa na approximate 70x70 yards na siyo meters
Mkuu umeshauza matikiti yakomie nimelima tikitiki ekari moja mwaka huu nataka kuuza, ila mimi ningependa kuuzia shamba. Mwenye taarifa ya hali ya soko kwa Dar es salaam wiki hii. Shamba lipo Kigamboni.
nimeshauza mkuu ila nilipata hasara.Mkuu umeshauza matikiti yako
Oh! pole sana, komaa next time utatoka tu usihofunimeshauza mkuu ila nilipata hasara.
Najaribu kilimo cha vitunguu, nasubiri mvua zipungue. Pia naweka pilipili hoho na biliganyaOh! pole sana, komaa next time utatoka tu usihofu
Sawa sawa ni idea nzuri, ila take caution na pilipili hoho zoo delicate lakini zikitoka umekula bingo. Kitunguu pia ni idea nzuri, unalimia wapi MkuuNajaribu kilimo cha vitunguu, nasubiri mvua zipungue. Pia naweka pilipili hoho na biliganya
vitunguu nafanya majaribio robo ekari Kigamboni. Kuna watu 2 wamelima na vimekubali walishavuna, ndio maana nataka kuingia huko. Pia kuna eneo dogo nitapanda migomba.Sawa sawa ni idea nzuri, ila take caution na pilipili hoho zoo delicate lakini zikitoka umekula bingo. Kitunguu pia ni idea nzuri, unalimia wapi Mkuu
Poa chief, kitunguu tafuta mbegu ya red Bombay ndio iko juu sokoni.vitunguu nafanya majaribio robo ekari Kigamboni. Kuna watu 2 wamelima na vimekubali walishavuna, ndio maana nataka kuingia huko. Pia kuna eneo dogo nitapanda migomba. Nitakuwa nawapa mrejesho hapa kila changamoto na mafanikio nitakayo yapata.
Ahsante sana kwa ushauriPoa chief, kitunguu tafuta mbegu ya red Bombay ndio iko juu sokoni.
Namaanisha mafuta ya diesel au petrol( inategemea na aina ya mashine) kumwagilia ekari moja, hasa eneo kavu na linalomeza maji mengi, hizo lita 5 zitategemea na mashine yako, zipo nyingine hazili mafuta mengi sana kwahiyo hata lita 3 zinaweza kutosha kabisa, na unahitaji kumwagilia at least mara 2 kama eneo lako linaweza kutunza maji kidogo na mara 3 kwa maeneo yenye ukame sana, ila kwa kipindi cha mvua kama hiki unaweza kaa hata wiki 2 hujamwagiliaNaomba ufafanuzi hapo unaposema "unahitaji wastani wa lita 5 kwa ekari moja kila unapomwagilia"...