Kisoda2
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 2,475
- 745
ipo haja ya kubadili kilimo pia. so siyo lazima wote tulime nanasi.Huko si mnalima nanasi mkuu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ipo haja ya kubadili kilimo pia. so siyo lazima wote tulime nanasi.Huko si mnalima nanasi mkuu ?
La kununua eka moja bei gani, nahitaji eka 10Bei ya kukodi Shamba ni maelewano kuhusu maji yana uhakika msim wote hayakatiki
Mkuu nahitaji kununua shamba eka 5-10 kutegemea na bei.Mkulanga Sehem moja inaitwa Rugwadu
Bei zao ni ghari sana kama unahitaji mashamba yenye guarantee nakushauri ujaribu kutembelea wilaya ya Rushoto ardhi ya kule kwa kilimo inalipa lakini hizi ardhi za mkoa wa pwani zinaweza kukutia umakini [emoji263]Mkuu nahitaji kununua shamba eka 5-10 kutegemea na bei.
Mwenyeji Wa huko au kuna unayemfahamu huko anisaidieBei zao ni ghari sana kama unahitaji mashamba yenye guarantee nakushauri ujaribu kutembelea wilaya ya Rushoto ardhi ya kule kwa kilimo inalipa lakini hizi ardhi za mkoa wa pwani zinaweza kukutia umakini [emoji263]
sawa unalima zao gani?Bei ya kukodi Shamba ni maelewano kuhusu maji yana uhakika msim wote hayakatiki
Mkuu mbn wanasema mnafu na chinese vina hela sana![]()
![]()
![]()
Soko LA mboga mboga kwa jiji la dar Es salam lina changamoto kubwa sana
Kuanzia kulima hadi uhakika wa soko
Weak mbili zilizopita niliingiza mzigo wangu wa mbogamboga katika mnada wa mazao hayo katika soko la Ilala
Baada ya kuhangaika na kilimo takriban miezi miwili shambani hakika niliamini kuwa ningepata faida kubwa kutokana na ubora wa bidhaa zangu ukilinganisha na Mboga kutoka morogogoro na Dodoma
Nilijitahidi kuzingatia ubora nikiwa Shamba
Mboga zangu hazikushambuliwa na wadudu waharibifu
Kutokana na soko nililima Shamba la mboga aina ya mnafu ni kachanganya na majani ya kunde
Hakika vyote vilistawi vyema kutokana na matunzo
Baada ya kuanza mavuno katika Shamba la majani ya kunde mavuno ya awali nilitoa viloba 8 yani mafungu 1200
Na mnafu ñikapata Fungu 800 nikawa na mafungu 2000 ya mbogamboga hakika nilitegemea kuondoka sokoni na wastani wa Tsh 400000/
Siku hiyo baada ya mauzo
Na kweli soko lilianza mida ya saa mbili usiku wanunuzi wengi walianza kuingia sokoni lakini nilikuja kubaini kuwa biashara hii ya mbogamboga kwa Tanzania inafanywa kienyeji na hata wanunuzi wake wengi ni kina mama ambao husambaza katika mabeseni na wengine wakijipanga pembezoni mwa viunga vya barabara huku wakitegemea majariwa ya wapita njia
Biashara ya mbogamboga ni kwa Tanzania ni kama biashara ya magazeti jua likizama na Wateja wake huitaji gazeti jipya
Baada ya kuingiza mzigo MKUBWA sokoni kiukweli hali ya soko kuzidiwa nilianza kuiona mapema japo Wateja walikusanyika kwa wingi kwenye bidhaa yangu lakini sikupata mteja hata mmoja wakumfungia mafungu angalau 50 kulingana na bei nilivyokuwa nikiuza kwa fungu moja tsh 300 kwanafu na 200 kwa kunde
Hakika usilo lijua ni usiku wa Giza usijaribu kumtuma binti yako kwa jirani aweza kurudi na mimba....
Hii ya KILIMO imenishinda wakuu labda nijaribu mengine..
ha ha haaa mkuu alikua anakaba hadi penati...alime yeye na sokoni akauze yeye??Mkuu Fakhbros mbona hujafunguka, uliuza fungu ngapi?? Ulikosea kuingilia kaz ya watu.. Ungeachia madalali wauze mzigo ungeisha!
Mkuu nipo Lushoto nalima brocol, cauliflower, carrot, leeks, salad na beetroot.Mwenyeji Wa huko au kuna unayemfahamu huko anisaidie
Lushoto
Mkuu nipo Lushoto nalima brocol, cauliflower, carrot, leeks, salad na beetroot.
Ila changamoto ni bei za haya mazao na kibaya zaidi huwezi kuweko stoo kwahyo yakiwa tayari lazima yauzwe,
Karibu sana.
Mkuu brucol na leeks zinachagua hali ya hewa sio mikoa yote inalima hizi mbogamboga. Inahitaji hali ya hewa ya ubaridi na udongo wenye tifutifu wenye rutuba ya kutosha maeneo hayo ni kama Lushoto, Moshi, Njombe, baadhi ya sehem za Mbeya, Iringa.Mambo vp kaka, ningependa sn kujifunza juu ya kilimo cha brocol na leeks maana kwangu ni kigeni sn je kinachagua hali ya hewa I mean baadhi ya mikoa au karibia mikoa yote
Mkuu brucol na leeks zinachagua hali ya hewa sio mikoa yote inalima hizi mbogamboga. Inahitaji hali ya hewa ya ubaridi na udongo wenye tifutifu wenye rutuba ya kutosha maeneo hayo ni kama Lushoto, Moshi, Njombe, baadhi ya sehem za Mbeya, Iringa.