Kilimo cha mbogamboga - Kanuni za kukuza mboga

Mkuu nahitaji kununua shamba eka 5-10 kutegemea na bei.
Bei zao ni ghari sana kama unahitaji mashamba yenye guarantee nakushauri ujaribu kutembelea wilaya ya Rushoto ardhi ya kule kwa kilimo inalipa lakini hizi ardhi za mkoa wa pwani zinaweza kukutia umakini [emoji263]
 
Mwenyeji Wa huko au kuna unayemfahamu huko anisaidie
Lushoto
 
Ni rahisi sana kama unaweza kufika ukastad na hali ya huko kisha ndio utaamua
 
Mkulanga unalima zao gani? kuna mtu ameniahidi kunitafutie sehemu za korogwe, ngoja nisubiri jibu lake.
 
Mtoa mada, shukrani sana, Nina mpango wakulima mboga mboga ila nimejiapiza ntauza mwenyewe sokoni jumla jumla,maana madalali ni mtihani
 
Asee notes nzuri sana hizi Mkuu ubarikiwe, Jaman kama kuna mtu anafanya kilimo cha mbogamboga naomba ani contact plz my no.+255 752412288
 
433d84b656ae7db304571c976770dc68.jpg
78daf931428c2b3f86f165c1d9248a76.jpg
a543ca874d0a4c5453df0f54487577c4.jpg

Soko LA mboga mboga kwa jiji la dar Es salam lina changamoto kubwa sana
Kuanzia kulima hadi uhakika wa soko
Weak mbili zilizopita niliingiza mzigo wangu wa mbogamboga katika mnada wa mazao hayo katika soko la Ilala
Baada ya kuhangaika na kilimo takriban miezi miwili shambani hakika niliamini kuwa ningepata faida kubwa kutokana na ubora wa bidhaa zangu ukilinganisha na Mboga kutoka morogogoro na Dodoma
Nilijitahidi kuzingatia ubora nikiwa Shamba
Mboga zangu hazikushambuliwa na wadudu waharibifu
Kutokana na soko nililima Shamba la mboga aina ya mnafu ni kachanganya na majani ya kunde
Hakika vyote vilistawi vyema kutokana na matunzo

Baada ya kuanza mavuno katika Shamba la majani ya kunde mavuno ya awali nilitoa viloba 8 yani mafungu 1200
Na mnafu ñikapata Fungu 800 nikawa na mafungu 2000 ya mbogamboga hakika nilitegemea kuondoka sokoni na wastani wa Tsh 400000/
Siku hiyo baada ya mauzo
Na kweli soko lilianza mida ya saa mbili usiku wanunuzi wengi walianza kuingia sokoni lakini nilikuja kubaini kuwa biashara hii ya mbogamboga kwa Tanzania inafanywa kienyeji na hata wanunuzi wake wengi ni kina mama ambao husambaza katika mabeseni na wengine wakijipanga pembezoni mwa viunga vya barabara huku wakitegemea majariwa ya wapita njia
Biashara ya mbogamboga ni kwa Tanzania ni kama biashara ya magazeti jua likizama na Wateja wake huitaji gazeti jipya

Baada ya kuingiza mzigo MKUBWA sokoni kiukweli hali ya soko kuzidiwa nilianza kuiona mapema japo Wateja walikusanyika kwa wingi kwenye bidhaa yangu lakini sikupata mteja hata mmoja wakumfungia mafungu angalau 50 kulingana na bei nilivyokuwa nikiuza kwa fungu moja tsh 300 kwanafu na 200 kwa kunde

Hakika usilo lijua ni usiku wa Giza usijaribu kumtuma binti yako kwa jirani aweza kurudi na mimba....

Hii ya KILIMO imenishinda wakuu labda nijaribu mengine..
 
Mkuu mbn wanasema mnafu na chinese vina hela sana
 
Mkuu Fakhbros mbona hujafunguka, uliuza fungu ngapi?? Ulikosea kuingilia kaz ya watu.. Ungeachia madalali wauze mzigo ungeisha!
 
ha ha haaa mkuu alikua anakaba hadi penati...alime yeye na sokoni akauze yeye??
 
Mwenyeji Wa huko au kuna unayemfahamu huko anisaidie
Lushoto
Mkuu nipo Lushoto nalima brocol, cauliflower, carrot, leeks, salad na beetroot.
Ila changamoto ni bei za haya mazao na kibaya zaidi huwezi kuweko stoo kwahyo yakiwa tayari lazima yauzwe,
Karibu sana.
 
Mambo vp kaka, ningependa sn kujifunza juu ya kilimo cha brocol na leeks maana kwangu ni kigeni sn je kinachagua hali ya hewa I mean baadhi ya mikoa au karibia mikoa yote

Mkuu brucol na leeks zinachagua hali ya hewa sio mikoa yote inalima hizi mbogamboga. Inahitaji hali ya hewa ya ubaridi na udongo wenye tifutifu wenye rutuba ya kutosha maeneo hayo ni kama Lushoto, Moshi, Njombe, baadhi ya sehem za Mbeya, Iringa.
 
Vipi matango na giligilani haujawahi Lima! !

Back
Top Bottom