Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

maeneo ya kibaha maeneo unaweza pata kule kongowe, bei kuanzia 4m kwa hekari..

Maeneo ya mkuranga hata 700,000/= kwa heka unapata..

Usiogope machafuko mkuu, wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika..
Sawa mkuu
 
Dr politics,

Habari mkuu, hivi ninapoandika nipo ktk wilaya ya kibiti, kata ya bungu, kijijini nymbunda ambako hakuna hata kiongozi mmoja ktk serikali ya kijiji. Wote walishauwawa na hao magaidi. Lakini maisha na shughuli zetu zinaendelea.

Karibu mkuu uje uchapekazi. Huku muhogo unastawi sanaaaaaa, na gharama za kununua au Kukodi shamba ni rahisi sana.
 
Kwann hamuwataji hao magaidi mkuu?
 
Kwann hamuwataji hao magaidi mkuu?
Hii ishu ni tatanishi Sana mkuu. Vinara walishatajwa na polisi wakawaweka bayana na picha zao.

Ni jukumu la Vyombo vya usalama kufanyakazi kwa ueledi mkubwa kuendelea kuwabaini na kuwafanya nguvuni.
 
hii ishu ni tatanishi Sana mkuu. Vinara walishatajwa na polisi wakawaweka bayana na picha zao.
Ni jukumu la Vyombo vya usalama kufanyakazi kwa ueledi mkubwa kuendelea kuwabaini na kuwafanya nguvuni.
Sawa mkuu, sasa hao magaidi wanamzuru mtu yeyote au wana watu wao wanao watageti?

Wasije wakanikuta huko msituni napanda muhogo wangu wakanishughulikia aisee!
 
Sawa mkuu, sasa hao magaidi wanamzuru mtu yeyote au wana watu wao wanao watageti?

Wasije wakanikuta huko msituni napanda muhogo wangu wakanishughulikia aisee!
Wangekuwa wanaua hovyo hovyo huku kusingekuwa na raia hata mmoja mkuu. Target za hawa magaidi ni viongozi wa serikali na CCM.
 
Toa bei ya Shamba kununua kwa heka na kama mtu akikodi ni sh ngapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…