Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana kwa somo murua. Nimeandaa shamba la eka 10 kwa ajili ya zao la muhogo na ninategemea kupata mbegu kutoka kwa watu mbalimbali. Kuna sehemu ambako ninaweza kupata mbegu bora ya kisasa?Somo zuri sana Mkuu, ahsante na ubarikiwe.
Ubora wa mbegu unategemea sehemu shamba lilipo, hivyo ni vyema kuwasiliana na watalamu wa kilimo au maofisa ugani wa eneo lako ili wakushauri ipasavyo.Ahsante sana kwa somo murua. Nimeandaa shamba la eka 10 kwa ajili ya zao la muhogo na ninategemea kupata mbegu kutoka kwa watu mbalimbali. Kuna sehemu ambako ninaweza kupata mbegu bora ya kisasa?
Niliwahi kutana na post hii mahali fulani hivi, mkuu ulishafanikiwa? unanipa hamasa ya kujikita katika kilimo cha mhogo baridi!Mwenye uwezo wa Kusupply 0.5T ya Cassava chips kwa mwezi Delivery port ikiwa C&F Nzega ani-pm.
kusharogwa na wazaramo tayari.Jamani nisaidieni, nimelima mhogo huko kisarawe lakini naona umeingiliwa na ugonjwa wa kuoza. Ukivuna mihogo unakuta kama imepikwa vile. Huu ni ugonjwa gani na una dawa?
NimekuPM mkuu, naweza kusupply.Mwenye uwezo wa Kusupply 0.5T ya Cassava chips kwa mwezi Delivery port ikiwa C&F Nzega ani-pm.
Binafsi sijajua nami pia nasubiria ujibiwe coz nataka kupanda heka mojaWakuu naomba kuuliza Heka moja ya mihogo Unapaka faida kiasi gani!
La kuongezea, atakayeshauri pia akiweza aoneshe bei ya shamba kwa ekari na eneo lilipoHabari wataalam wa kilimo, leo nimepata wazo la kuanzisha kilimo cha Muhogo na viazi.
Kwa kuzingatia masoko na gharama za uendeshaji, nimeona nichague eneo zuri lililopo karibu na Dar ninapoishi.
Kwa upande wa kusini maeneo ambayo yana nafasi ni Kuanzia Mkuranga, kibiti na rufiji ila tatizo hali si shwari kwa ajili ya kuanzisha shughuli za kiuchumi kwa sasa.
Je, eneo gani la PWANI la karibu zaidi ambalo naweza kununua shamba kwa bei nafuu na ni zuri kwa kilimo cha MUHOGO na viazi?
maeneo ya kibaha maeneo unaweza pata kule kongowe, bei kuanzia 4m kwa hekari.Habari wataalam wa kilimo, leo nimepata wazo la kuanzisha kilimo cha Muhogo na viazi.