Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimanzichana lipo kwenye eneo la MIVARF. Ndio wahusika wameanza kufanya kazi hivyo ni rahisi watakufikia nakukupa maelekezo. Wasipofika tuwasiliane mwezi mmoja kabla ya mavuno kwa PM nitakuunganisha na wanunuzi wa Tandale au Kariakoo kama wakulima wangu wa Rufiji.Mkuu Kipimbwe, mimi ninalima Muhogo kwa mara ya kwanza eneo la Kimanzichana. Nimeanza kwa kujaribu ekari nne nione itajibu vipi. Ki ukweli sina uhakika sana na masoko lakini nimeona nianze ili msimu usije kunipita. Unaweza kuniambia kwa maeneo haya naweza kwenda wapi kuulizia uhakika wa masoko?
Nakushauri upande muhogo mchungu kuzunguka shamba lako walau mistari miwili ya mwanzao. Mbegu unaweza kupata kituo cha utafiti pale Kibaha.Nitakabiliana vipi na wanyama waharibifu Kama tumbili na nguruwe pori.Nililima maeneo ya Kisemvule mbele ya Vikindu nikakata tamaa
Nitashukuru sana mkuu. Nitakutafuta mambo yakikaribia, ubarikiwe sana.Kimanzichana lipo kwenye eneo la MIVARF. Ndio wahusika wameanza kufanya kazi hivyo ni rahisi watakufikia nakukupa maelekezo. Wasipofika tuwasiliane mwezi mmoja kabla ya mavuno kwa PM nitakuunganisha na wanunuzi wa Tandale au Kariakoo kama wakulima wangu wa Rufiji.
Mkuu nimekua impressive Sana na hiki kilimo. Niko muheza mkoa wa Tanga, mimi ni Mara yangu ya Kwanzaa mbegu gani nzur inaweza kustawi maeneo haya!Nakushauri upande muhogo mchungu kuzunguka shamba lako walau mistari miwili ya mwanzao.Mbegu unaweza kupata kituo cha utafiti pale Kibaha
Ndugu Grand casual sijajua kwa Tanga upo upande gani lakini kama ni maeneo ya kichanga au tifutifu unaweza panda mbegu inaitwa Kiroba inapatikana kwa bei ndogo sana kwa bundle ya pieces mia pale Kibaha kwa bei ya shilingi elfu tatu kama sikosei.. Mkuu nimekua impressive Sana na hiki kilimo. Niko muheza mkoa wa Tanga, mimi ni Mara yangu ya Kwanzaa mbegu gani nzur inaweza kustawi maeneo haya!
Shukrani mkuu nitawatafuta!Ndugu Grand casual sijajua kwa Tanga upo upande gani lakini kama ni maeneo ya kichanga au tifutifu unaweza panda mbegu inaitwa Kiroba inapatikana kwa bei ndogo sana kwa bundle ya pieces mia pale Kibaha kwa bei ya shilingi elfu tatu kama sikosei.
mkuu, je naweza pata eneo la kukodi huko nikalima mihogo, naomba mawasiliano yako?Mkuu Kipimbwe, mimi ninalima Muhogo kwa mara ya kwanza eneo la Kimanzichana. Nimeanza kwa kujaribu ekari nne nione itajibu vipi. Ki ukweli sina uhakika sana na masoko lakini nimeona nianze ili msimu usije kunipita. Unaweza kuniambia kwa maeneo haya naweza kwenda wapi kuulizia uhakika wa masoko?
Kaka George, nitakuuulizia nikienda week end ijayo maana mimi ninalima kwenye shamba langu mwenyewe. Ila najua kule mashamba ya kukodi yapo na gharama zake sio kubwa. Vumilia kidogo tu nikupatie jibu lililo kamili.mkuu, je naweza pata eneo la kukodi huko nikalima mihogo, naomba mawasiliano yako?
Samahani mkuu,Ndugu Grand casual sijajua kwa Tanga upo upande gani lakini kama ni maeneo ya kichanga au tifutifu unaweza panda mbegu inaitwa Kiroba inapatikana kwa bei ndogo sana kwa bundle ya pieces mia pale Kibaha kwa bei ya shilingi elfu tatu kama sikosei.
Ukipanda kitaalam unaweza kupanda fittings 10,000 ha kwa hekta.Samahani mkuu,
Nimevutwa sana na kilimo hiki hasa kutokana na kutokueleweka kwa mvua.
Nahitaji kujua kwenye shamba la hekar moja kunaingia mashina mangapi ya muhogo?
Mihogo ya tabora tasteless, sijajua tatizo ni mbegu au ardhi. nilinunua mara moja tu sikurudia tena.Wanajamii naomba nami nijiongezee hapo hapo. nimesoma sana topic za muhogo lakini nimeona inazungumziwa mihogo ya kuanzia Mkuranga kuelekea njia ya Mtwara hadi karibu na Mbuga ya Selous. naomba kuuliza maswali yafuatayo:
1. Je, muhogo unaolimwa tabora hauna market katika viwanda vya nje na ndani ya nchi?
2. Sio mtamu kwa kuliwa?
Naomba msaada maana nipo tabora na nafikiria kulima muhogo kama wa hekari 20 kwa biashara, ni bora kutafuta ushauri kabla ya kuingia shambani nikapoteza muda maana shamba tayari ninazo ekari 22. jambo nalofikiria ni muhogo.
thanx
Mkuu tunashukuru sana kwa elimu unayotupa.Ndugu Grand casual sijajua kwa Tanga upo upande gani lakini kama ni maeneo ya kichanga au tifutifu unaweza panda mbegu inaitwa Kiroba inapatikana kwa bei ndogo sana kwa bundle ya pieces mia pale Kibaha kwa bei ya shilingi elfu tatu kama sikosei.