Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

Nahitaji tani 50 Mihogo mikavu.nanunua kwa 350tsh kilo

Duu yaani kilo tatu buku tena iliyoandaliwa na kukaushwa tayari? Haf mihogo ikikaushwa si inapungua uzito?Duu wachuuzi wa Kilimo cha Tz kweli nuksi!..
 
Habari wana janvi!!!!!

kwa yeyote anaefahamu upatikanaji wa mbegu bora za muhogo ambazo zilifanyiwa utafiti na kuthibitika kustaihimiri magonjwa mbalimbali na ukame, pia zenye kutoa mazao kwa wingi anakaribishwa.

Dah kuna uzi humu ulikua na link ya wadau wa mihogo na wana link ya group lao la whatsap. Wafute huo uzi huko utasaidiwa kila kitu kuhusu kilimo cha mihogo
 
Kawaulize wala mihogo sisi hatuli mihogo. We unauliza maswali ya mbegu umeambiwa JF kuna mla mihogo.
Ni bora kukaa kimyaa kuliko kujibu kebehi. Maandiko matakatifu yanasema hata mpumbavu akikaa kimya huhesabiwa kuwa na hekima.
 
Dunia hii ni shida Mungu alipotutofautisha kufikiri tu ndo shida ilipoanzia mtu unategemea kupata Msaada mwingine hata mpango hana sehemu kubwa ya watanzania tunakula mihogo hata Kama wewe hujala babu zako wamekula
 
Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!

Ninauza mayai ya kuku wa kienyeji(Kuroiler) kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya kutotolesha yanapatikana kwa order.

Bei ya tray moja ni elfu kumi tu(10,000tsh) ninapatikana Dar es salaam Tegeta-Madale na ukitaka tray kuanzia kumi unaletewa popote ulipo bure ila ukihitaji pungufu ya hapo utatoa nauli nusu na sisi tutakuchangia nusu..kwa mawasiliano zaidi 0769345032 au 0654250816 karibuni sana.
 
MBEGU NZURI NI KIROBA NA NALIENDELE HUZAA TANI 20 KWA HEKTA MOJA NA INAKOMAA BAADA YA MIEZI TISA
Mkuu ahsante sana, unaweza kunisaidia kwa makadirio gharama za zote toka kuandaa heka moja ya mhogo hadi unapokuwa tayari kwa kuuzwa na pia yake ya soko ikoje. Ahsante sana
 



Mkuu bado mnachukua mhogo?
 
Habari zenu wakuu, mimi ni mgeni lakin nimevutiwa na mada hii, pia Mimi ni mkulima wa mihogo sema bado ninahitaji darasa sana ili kuwa mtaalamu. Ningependa kujua mambo mawili au matatu
1. Kuna kiwanda naskia kipo dar kinanunua mihogo. Je ni kiwanda gan hiko?

2. Swala la soko la mihogo limekaaje, wanauza kwa tani au Kiroba?

3. Mbegu nzuri nayo ni ipi?
 
Siyo vibaya kinalipa vizuri mnoo
 
Project iliishia wapi!update plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…