kahata
Member
- Jan 17, 2021
- 88
- 53
Jamani na mimi nahitaji shamba pori liwe bungu, au jaribu au mlanzi na je heka ni bei gAni?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nikuuzie la kwangu nishawai kulima mihogo eka nne. Lipo msanga kisaraweJamani na mimi nahitaji shamba pori liwe bungu, au jaribu au mlanzi na je heka ni bei gAni?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Heka bei gani?Mi nikuuzie la kwangu nishawai kulima mihogo eka nne. Lipo msanga kisarawe
Eka au hektar. Mi nina acre 4 unatak kulima nini kwanza
Linasapoti mikorosho, ufuta na mihogo? Nataka kwAnza mikoroshoEka au hektar. Mi nina acre 4 unatak kulima nini kwanza
Mikorosho ndio tuliyoikata na kupata shamba. Natafuta picha za mihogo kwanza niliyolima pale .Linasapoti mikorosho, ufuta na mihogo? Nataka kwAnza mikorosho
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Kwanini uliamua kuikata mikorosho?Mikorosho ndio tuliyoikata na kupata shamba. Natafuta picha za mihogo kwanza niliyolima pale .
Mimi sio mtu wa kule na Mikorosho siifahamu biashara yake pis serikali inaingilia sana. Tulijaza migomba eka zote, ikawa shamba la bibi ndio nikaikata migomba yote ndio nikaweka mhogo nilivuna mwaka juzi sikulima tena ingawa kuna jamaa aliomba kukodisha eka 2
Mihogo uliuza kwa njia gani anavuna na kupeleka kuuza mwenyewe au?Mimi sio mtu wa kule na Mikorosho siifahamu biashara yake pis serikali inaingilia sana. Tulijaza migomba eka zote, ikawa shamba la bibi ndio nikaikata migomba yote ndio nikaweka mhogo nilivuna mwaka juzi sikulima tena ingawa kuna jamaa aliomba kukodisha eka 2
Mihogo ndio nilikuwa natafuta picha za kazi nimezikosa nadhani zilipotea kwenye simu yangu iliyoharibika.Mihogo uliuza kwa njia gani anavuna na kupeleka kuuza mwenyewe au?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Heka bei gani?Mihogo ndio nilikuwa natafuta picha za kazi nimezikosa nadhani zilipotea kwenye simu yangu iliyoharibika.
Kama kuna kipindi ulisikia serikali imepata soko la Muhogo China basi kwa fursa hiyo nililima mihogo kama eka 6 na nusu. Mchina alitangaza bei nzuri sana kwa mhogo mbichi yaani alitangaza Tshs. 1,060/= kwa kilo moja.
Kwa hiyo nilijituma nikawekeza. Sasa baada ya miezi saba Mchina alianza kununua mhogo alianzia Handeni Tanga. Tatizo la mchina alikuwa ananunua mhogo mbichi halafu anaupeleka kwenye sait yake huko huko shamba kule alikuwa na mashine za kuuchakata. Yaani mashine ile muhogo unakatwa silesi silesi za cm 10. Halafu ukishakatwa wanaanika juani. Unakauka baada ya siku 2 wanaweka kwenye viroba vya kilo 50.
Kwa hiyo sisi wa Kisarawe huko vijijini tukawa tumekosa mashine ya kuch akata mhogo na msimu wa mvua ulikuwa unakaribia.
Kwa kweli Mchina nae alipata hasara sababu mhogo alionanika ulinyeshewa. Nasikia milioni 15 zilipotea.
Kilichotokea sasa akashusha bei toka 1,060/= kwa kilo mpaka Tshs. 600/= kwa kilo.
Hata hivyo hiyo bei ilikuwa bado nzuri sababu shina moja la mhogo mimi lachini ilikuwa 13 kwa shina na juu kilo 18 mpaka machache kg 20 kwa shina. Sasa kama miche iko 4000 kwa eka bado bi hela ndefu.
Tuliomba msaada kwa viongozi serikalini kupata mashine ya kuchakata ndipo Mh
Jokate Dc aliongea na wanunuzi ma agent wa mchina wako kule mwenge. Wakakubali kutuazimisha mashine za kuchakata bure na pale wilayani wakaniazimisha bure jenereta kwa muda wote mpaka nimalize mhogo wangu.
Picha ya hiyo mashine nitakuwekea hapo chini.
Kwa kifupi nilifanikiwa kuvuna eka 2 tu sababu mvua ilianza. Mzigo wa mhogo waliufuata wenyewe kule mule shamba kwa gharama zao, na pia walinipa mifuko ya kg 50 bure nijaze mhogo.
Walini lipa kupitia account ya bank bila utata wowote.
Kilichonifanya nisilime tena ni mchina kubadilisha bei anavyataka yeye.
Bei alipunguza tena.
Kwa hiyo soko langu alikuwa mchina kwa mbegu ya Kiroba nasikia wao walikuwa wanafuata starch au wanga kwenye hiyo mihogo. Soko la buguruni sina uzoefu nalo.
Nipe ofa yako uwe huru, Pia naona tuhamie PM kwa mawasiliano ya haraka
Unatak kununua heka ya shamba Boss? Me nalima Mihogo na MASHAMBA yapo Wilaya ya mkuranga PWANI karibu na dar there's no problem in transportation na Dar
Ni kwel boss sas soko la China ma wakal wame kuwa hadimu kidog ila bado tunauzia sokoni Je ww bado information zao unawez tusaidie ?Mihogo ndio nilikuwa natafuta picha za kazi nimezikosa nadhani zilipotea kwenye simu yangu iliyoharibika.
Kama kuna kipindi ulisikia serikali imepata soko la Muhogo China basi kwa fursa hiyo nililima mihogo kama eka 6 na nusu. Mchina alitangaza bei nzuri sana kwa mhogo mbichi yaani alitangaza Tshs. 1,060/= kwa kilo moja.
Kwa hiyo nilijituma nikawekeza. Sasa baada ya miezi saba Mchina alianza kununua mhogo alianzia Handeni Tanga. Tatizo la mchina alikuwa ananunua mhogo mbichi halafu anaupeleka kwenye sait yake huko huko shamba kule alikuwa na mashine za kuuchakata. Yaani mashine ile muhogo unakatwa silesi silesi za cm 10. Halafu ukishakatwa wanaanika juani. Unakauka baada ya siku 2 wanaweka kwenye viroba vya kilo 50.
Kwa hiyo sisi wa Kisarawe huko vijijini tukawa tumekosa mashine ya kuch akata mhogo na msimu wa mvua ulikuwa unakaribia.
Kwa kweli Mchina nae alipata hasara sababu mhogo alionanika ulinyeshewa. Nasikia milioni 15 zilipotea.
Kilichotokea sasa akashusha bei toka 1,060/= kwa kilo mpaka Tshs. 600/= kwa kilo.
Hata hivyo hiyo bei ilikuwa bado nzuri sababu shina moja la mhogo mimi lachini ilikuwa 13 kwa shina na juu kilo 18 mpaka machache kg 20 kwa shina. Sasa kama miche iko 4000 kwa eka bado bi hela ndefu.
Tuliomba msaada kwa viongozi serikalini kupata mashine ya kuchakata ndipo Mh
Jokate Dc aliongea na wanunuzi ma agent wa mchina wako kule mwenge. Wakakubali kutuazimisha mashine za kuchakata bure na pale wilayani wakaniazimisha bure jenereta kwa muda wote mpaka nimalize mhogo wangu.
Picha ya hiyo mashine nitakuwekea hapo chini.
Kwa kifupi nilifanikiwa kuvuna eka 2 tu sababu mvua ilianza. Mzigo wa mhogo waliufuata wenyewe kule mule shamba kwa gharama zao, na pia walinipa mifuko ya kg 50 bure nijaze mhogo.
Walini lipa kupitia account ya bank bila utata wowote.
Kilichonifanya nisilime tena ni mchina kubadilisha bei anavyataka yeye.
Bei alipunguza tena.
Kwa hiyo soko langu alikuwa mchina kwa mbegu ya Kiroba nasikia wao walikuwa wanafuata starch au wanga kwenye hiyo mihogo. Soko la buguruni sina uzoefu nalo.
Yapo tena ardhi yake ina rutuba ya kutosha na MASHAMBA yangu yapo ya kweny bonde maji miaka yote na milimani ww tu na machine yako kilimo chochote kina stahimiri ardhiJamani na mimi nahitaji shamba pori liwe bungu, au jaribu au mlanzi na je heka ni bei gAni?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
kiongozi connection ya agents/wachina wanaonunua mihogo.nina ekar 4Mi nikuuzie la kwangu nishawai kulima mihogo eka nne. Lipo msanga kisarawe
Mashamba yako maeneo gani, hekari bei ganiYapo tena ardhi yake ina rutuba ya kutosha na MASHAMBA yangu yapo ya kweny bonde maji miaka yote na milimani ww tu na machine yako kilimo chochote kina stahimiri ardhi
nicheck--+255625400299
Ni miezi 7 tu itakuwa tyr kuvunwa mkuu!
Kwahiyo umeacha kabisa kulima mhogo na je vp kuhusu taarifa za soko la mihogo mimi nina mashine ya kuchakata mhogo yaani zinakuwa mfumo wa chipsMihogo ndio nilikuwa natafuta picha za kazi nimezikosa nadhani zilipotea kwenye simu yangu iliyoharibika.
Kama kuna kipindi ulisikia serikali imepata soko la Muhogo China basi kwa fursa hiyo nililima mihogo kama eka 6 na nusu. Mchina alitangaza bei nzuri sana kwa mhogo mbichi yaani alitangaza Tshs. 1,060/= kwa kilo moja.
Kwa hiyo nilijituma nikawekeza. Sasa baada ya miezi saba Mchina alianza kununua mhogo alianzia Handeni Tanga. Tatizo la mchina alikuwa ananunua mhogo mbichi halafu anaupeleka kwenye sait yake huko huko shamba kule alikuwa na mashine za kuuchakata. Yaani mashine ile muhogo unakatwa silesi silesi za cm 10. Halafu ukishakatwa wanaanika juani. Unakauka baada ya siku 2 wanaweka kwenye viroba vya kilo 50.
Kwa hiyo sisi wa Kisarawe huko vijijini tukawa tumekosa mashine ya kuch akata mhogo na msimu wa mvua ulikuwa unakaribia.
Kwa kweli Mchina nae alipata hasara sababu mhogo alionanika ulinyeshewa. Nasikia milioni 15 zilipotea.
Kilichotokea sasa akashusha bei toka 1,060/= kwa kilo mpaka Tshs. 600/= kwa kilo.
Hata hivyo hiyo bei ilikuwa bado nzuri sababu shina moja la mhogo mimi lachini ilikuwa 13 kwa shina na juu kilo 18 mpaka machache kg 20 kwa shina. Sasa kama miche iko 4000 kwa eka bado bi hela ndefu.
Tuliomba msaada kwa viongozi serikalini kupata mashine ya kuchakata ndipo Mh
Jokate Dc aliongea na wanunuzi ma agent wa mchina wako kule mwenge. Wakakubali kutuazimisha mashine za kuchakata bure na pale wilayani wakaniazimisha bure jenereta kwa muda wote mpaka nimalize mhogo wangu.
Picha ya hiyo mashine nitakuwekea hapo chini.
Kwa kifupi nilifanikiwa kuvuna eka 2 tu sababu mvua ilianza. Mzigo wa mhogo waliufuata wenyewe kule mule shamba kwa gharama zao, na pia walinipa mifuko ya kg 50 bure nijaze mhogo.
Walini lipa kupitia account ya bank bila utata wowote.
Kilichonifanya nisilime tena ni mchina kubadilisha bei anavyataka yeye.
Bei alipunguza tena.
Kwa hiyo soko langu alikuwa mchina kwa mbegu ya Kiroba nasikia wao walikuwa wanafuata starch au wanga kwenye hiyo mihogo. Soko la buguruni sina uzoefu nalo.
Hii unasaga unga au unauza kama ilivyo?Kwahiyo umeacha kabisa kulima mhogo na je vp kuhusu taarifa za soko la mihogo mimi nina mashine ya kuchakata mhogo yaani zinakuwa mfumo wa chips View attachment 2735333