Mkulima Jr
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 224
- 246
nicheki kwa namba 0717514740naweza kukuunganisha na mtu akukuuzia mbegu mimi pia nalima kisalawe kijiji cha mwagaWakuu nahitaji mbegu ya muhogo nimelima maeneo ya kisarawe, kama kuna mtu anwrza kunipa msada plz naomba... Nina uhitaji sana
laki 4 hadi inategemea eneo lilipomkuu eka moja shilingi ngapi?
long time toka ume post lakini kwa mimi niliepitia kilimo hicho achana nacho, Itakula kwako, Wana siasa ni wana siasa tuLeo nimemuona Waziri Mkuu akizindua kiwanda cha kuchakata Muhogo Mkoani Tanga, nafikiri ni fursa nzuri kwa wakulima wa Muhogo. Nami sipendi fursa hii inipite, mwenye taarifa kuhusu mpango huu anijuze tafadhali, hasa taarifa za upatikanaji wa mashamba, ulimaji, mbegu, nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vp mrejesho wa kiwanda vp kipo au ?Mkuu naanza ujenzi wa kiwanda cha kusindika Rufiji kuanzia Sept na by Jan 2012 nitaanza kununua tani 20 kila siku mihogo aina zote so kama utakuwa na uwezo wa kufikisha tutanunua yote. Michungu na mitamu yote tutachukua kutengezea starch tuna masoko ya nje makubwa na tutanunua bei nzuri tu mkuu.
Maelezo mengi zaidi yapo hapa mkuu
https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/39210-project-funding-sources-10.html#post2118391
Yap Kama kipo asema sisi wadau.k
Mkuu vp mrejesho wa kiwanda vp kipo au ?
NVipofu wa kilimo. Ndio watakae ingia huo mtego🙄 lakini kwa mm iyo siyo investment. Bali ajira yenye marupurupu. Kwa mm taking that deal its wasting time effort and money. Nawashauri wakulima dont take that "game" lima mwenyewe uza mwenyewe. Kama wewe mkulima kwann uajiriwe? Asiyejua soko la mhogo hapa Tanzania ani p.m nitamsaidia. Asiyejua wap pa kuuza starch ani p.m nimpe elimu bure.Kampuni izi za nje zinazokuja na uongo uongo mwingi zinanikera sana.tena wakishirikiana na wazawa kuwanyonya watanzania wenzao. Na kuwasaidia kila kitu. Kutaka kuwaibia watu sababu hawajui. Lima mwenyewe uza mwenyewe. inakulipa.mara 10. Zaidi ya hao wanyonyaji. Kama una huo mtaji lima mwenyewe process starch inakulipa faida yako mara 2 tena zaidi. Acheni utapeli...... hakuna kitu hapo.
Wanajf naomba mwenye ujuz/utaalam wa kilimo cha mihogo, nampango wakulima huko kisarawe kama heka 5,
Soko lake likoje, na garama za kilimo zkoje?
kweli mkuu nimeona hata naofisini wengi wanapiga mihogo badala ya chapat