What about fukayosi mkuu? Mhogo unaota?Mkuu mikoa yote ya Pwani muhogo unakubali vizuri tu ila kama utapenda kuwa mdau kwa eneo letu au ungependa kuzalisha ili tununue ningeshauri ili kupunguza ghrama za usafirishaji ni nzuri kama utaelekea barabara ya Kilwa maeneo ya kuanzia Mkuranga kuelekea njia ya Mtwara hadi karibu na Mbuga ya Selous maeneo yapo wazi sana mkuu na yanakubali muhogo ile mbaya. Tutahitaji muhogo uingie kwenye mashine kabla ya kuzidi umri wa siku 3 tangu kuvunwa ambayo najua hiyo ni feasible kabisa kwa sehemu kubwa ya Tanzania kufikisha kiwandani.
So Mlandizi pia sio mbali nimeongelea kupanua profit margin kwa kupunguza transportation costs tu hapo
wataalam pia tuombe mtusaidie kujua aina gan ya mbegu ni bomba!, tayar niko kazini. Kuna watalaam weng hapa lakn naona msimu unakaribia wako shamban, akina malila , ngoshwe n.k! Hawasikk
Kweli kabisa nilikuwa shamba, nimeona vitu vizuri ktk safari ya shamba niliyokwenda,
Nirudi ktk topic, mbegu zimeshatajwa hapo juu. Kimanzichana panaweza kuwa pazuri sana kwa sasa kwa ajili ya kufungua mashamba makubwa ya mhogo, kule nyuma ya mji kuna eneo kubwa lililotupu. Na mkuu Ngeleja anapeleka moto pale,siku si nyingi moto utawaka. Kididimo ni pazuri, bado mafisadi hawajafika na kuharibu bei. Maeneo ya Hoyoyo Mkuranga ni mazuri,tatizo wakubwa wameshalamba mapande makubwa,unaweza ukauziwa kipande cha mtu.
malila asante, mim nilikuwa huko maeneo ya mlegele pwan kule mhogo unakubal tatizo ni wanyama waharibifu!, kididimo iko maeneo gani?, je eka 1 bei gan?, wakubwa wamekamata mashamba huko pwan sijawah ona!.
niona umeme uko njia moja, pia na value ya ardhi imepanda sana maeneo ya njia kuu kwenda m/mango ambapo 1acre ni 1mil. Nimetembelea vijiji kadhaa huko kisarawe, na kujionea hal halisi.Kuna vijiji vina rutuba sana.
I can assist in system set up Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More
Thank you Ndachuwa
Najaribu kutoa wazo kwa wana JF, ikiwezekana tuunde kikundi chetu, tukamate hio heka 50 tupige kazi.
Nafikiri hiyo ni good idea. Lets do something,kama upo tayari ni pm ile tuelekezane haraka iwezekanavyo.Najaribu kutoa wazo kwa wana JF, ikiwezekana tuunde kikundi chetu, tukamate hio heka 50 tupige kazi.
my step mom is kulima mihogo....whats this all about kuna mtu anaweza kunitafsiria na kunisamarazia.....