Hapo sawa nilidhani ni hizi zisizo na uwezo wa kuoteshwa kienyeji.Hahaaaa.
Ni mbegu zimeboreshwa. Wananchi wengi tu wa Mara wanazinunua. Mbegu za Muhogo sio za kununua kila mwaka. Akinunua mara moja miaka mitatu inayofuata anakuwa anapanda hizohizo

Fanya kweli.Mwakani ngoja nijaribu hili zao pia hata kwa acre moja.
Dr wa ukweli mradi wako unaendeleajeWanajf naomba mwenye ujuz/utaalam wa kilimo cha mihogo, nampango wakulima huko kisarawe kama heka 5
Soko lake likoje, na garama za kilimo zkoje?
KabisaMzee umechungulia deal nasikia kilimo cha mihogo kinalipa vibaya mno na soko lake ni kubwa pia.
Mfano mzuri ulio hai nenda pale mbezi stendi mwisho utakuta wamama kibao wanapigania ikija fuso ya mihogo nusu saa nyingi inakua imekwisha,na unakuta wengine wanasubiria mpaka saa tano ya usiku.
Ngoja wataalamu wenye uzoefu nayo watupe data.
Ulifanikiwa mkuu? Natafuta pia soko la mihogo, natolea kimanzi ChanaWakuu habari,
Wapi tapata soko la mihogo kwa bei nzuri? Natarajia kuvuna mwezi huu. Shamba lipo Miono ila wanunuzi wa pale ni madalali wanalalia bei.