Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh. Chacha hebu nijaze hapo majani ya mhogo yanatumika kama chakula cha mifugo??? & kama dawa??. Ntafurahi kama utanipa ufafanuzi zaidi nami nikaelimika
Chacha nami naomba kujuzwa zaidi na sanasana ni utafiti uliofanywa Italy na pia kama kunamtu anajua matumizi ya Starch itokanayo na mihogo.
Mkuu majani ya mihogo unayachuma, unayakausha then unasaga, na unaweza changanya na na faka zingine ukwapatia kuku, inafaa sana kwa kuku na mifugo mingine na mara nyingi ynatakiwa yachumwe wakati bado mihogo ikiwa michanga miezi mitatu hadi minne ,mihogo ikisha komaa basi kiwango cha protein kwenye hayo majani huwa ni kidogo sana. Huwa inaconatin 20-27% crude protein.
Mkuu nasikia ukichuma majani ya mhogo ikiwa michanga, huwa haiweki kiazi chini.
Mkuu kiwanda kimeshaanza kazi?Mkuu naanza ujenzi wa kiwanda cha kusindika Rufiji kuanzia Sept na by Jan 2012 nitaanza kununua tani 20 kila siku mihogo aina zote so kama utakuwa na uwezo wa kufikisha tutanunua yote. Michungu na mitamu yote tutachukua kutengezea starch tuna masoko ya nje makubwa na tutanunua bei nzuri tu mkuu.
Maelezo mengi zaidi yapo hapa mkuu
https://www.jamiiforums.com/busines...0-project-funding-sources-10.html#post2118391
Unpossible Dream. Nimegundua kwamba ni bora iulime mwenyewe. Oparation cost is cheaper and profit margin it pays better than Rufiji thing.
Gharama za kulima Tonne 18,000 za mhogo.
1heka=15 tonne
X = 18,000
Iit become 1200hekas needed.
Gharama za kuzalisha 1 heka= 200,000
So 1200hekas * 200,000= 240,000,000/=
1 tonne wanalipa $75 iko to 123,500
123,500 * 18,000= 2,227,500,000/= (2bil)
Swali. Kama wanaela za kulipa watu kiasi iko cha pesa kwann wasilime wenyewe.
SASA UKILIMA MWENYEWE MHOGO WA KULA IKO HIVI
1heka inatoa viloba 35 vya mhogo @ 50000/= bei ya shambani so
35*50000=1,750,000
So taking same 100hekas its
1,750,000*100= 175,000,000/=
Kule juu unapata 123,750,000/= ndio utakayolipwa. Sorry hamjanipa. Huu ni utapeli wa kimataifa.
Nashukuru kwa uelewa wako. any feedback please, hii project iliendaje, watu walifaidika?Kwanini usilime mwenyewe ukauze
Jibu: Mkuu hivyo viloba 35 X 100 = viloba 3500 uta muuzia nani? Hilo soko la kuuza kiasi chote hicho kwa muda mfupi unalipata wapi?
Umeuliza kwanini Wasifanye wenyewe badala yake walipe gharama kubwa zaidi ukilinganisha na kama wange fanya wenyewe
Jibu: Tatizo hujaweka "Muda/Time" katika listi ya gharama zako,lakini pia management ya shamba ina gharamu fedha za ziada on top of the expenses which u have already mentioned above.They want to put much effort into processing na mpaka wameamua kuwapa watu dili la kulima ni kwasababu wamepiga hesabu zao kwa kuangalia kila factor necessary to them not to you
Though hoja ni ya msingi,nafikiri mkuu mzuzu atafafanua zaidi