Kilimo cha Mitiki: Utaalamu na biashara yenyewe

Kwa hiyo mikoa kama Iringa, Mbeya, Njombe ambayo inabaridi kali, lakini udongo wake kwa sehemu kubwa ni tifutifu haifai kupanda mitiki? Natanguliza shukrani kwa maelezo mazuri ya ufafanuzi
 
Haifai au ukuaji utakuwa usiotarajiwa, ila mbadala unaweza kupanda Mfudufudu (Arborea / White Teak) hii huvunwa kuanzia miaka 4 - 30, miti inayofaa sehemu za nyanda za juu kusini ni km Mjakaranda / Jacaranda (Miaka 5-30)
  • Mkaratusi / Eucalptus (Miaka 4-30)
  • Msanduku / Cypress (Miaka 5-30)
  • Msindano / Weeping Pine (Miaka 4-20)
  • Mvinje /River she oak (Miaka 4-30) nk
 
Ndugu Macky unaweza kushusha kwa ufupi gharama za kupanda miti hii na faida utakayopata ukivuna kwa heka moja
 
Ekari moja ya shamba unaweza kupanda miti mia sita (600) mpaka mia saba (700). Gharama za kununua mashamba au maeneo ya kupandia miti hutegemea na eneo. Kwa sehemu nyingi za vijijini maeneo kwa ekari moja hayazidi laki 5.

Miche ya kununua mfano Mitiki huuzwa kuanzia elfu moja (1000) kwa mche mmoja
Gharama ya kununua miche = 1000 * 600 = 600,000
Pia unaweza kuokoa gharama za kununua miche kwa kuioteshe mwenyewe ktk vitalu na kuiamishia shambani baada ya kustawi vizuri na kuwa imara.
Mf. Mbegu za Mitiki huuzwa 12,500 tu kwa Kilogram moja (Kg1)
Kg1 inaweza kutoa zaidi ya miche mia tisa (900) ambayo unaweza kuipanda katika eneo la ekari moja na nusu.

Faida
  • Ikiwa umefanikiwa kupanda miche 600 na bei ya kuuza mti mmoja ni elfu hamsini (bei ya mfano) = 600 * 50,000 = 30,000,000
"He who plants a tree, plants a hope." - Lucy Larcom

"The best time to plant a tree is twenty years ago. The second best time is now.” - Chinese Proverb

"The secret of getting ahead is getting started. " - Mark Twain

Tujifunze Kilimo Bora kwa Maendeleo Yetu: Uwekezaji wa Muda Mrefu - Kilimo cha Miti ya Mbao
 
Ekari moja ya shamba unaweza kupanda miti mia sita (500) mpaka mia saba (700). Gharama za kununua mashamba au maeneo ya kupandia miti hutegemea na eneo. Kwa sehemu nyingi za vijijini maeneo kwa ekari moja hayazidi laki 5.

Mkuu asante sana. Ubarikiwe.
 
Mkuu bei halisi ni ngapi ya mti mmoja wa mtiki?
 
Mkuu miti gani inalipa zaidi kati ya mitiki, milingoti na pines?
Kulipa kwa mti kunategemea na matumizi na umri wake. Kwa ujumla mashamba ya miti yanalipa hata km ni mwarobaini.
Pia upandaji wa miti unategemea na sehemu uliyopo na sio ulipaji wake.
 
mkuu ni miti gani inalipa sana sehemu za pwani kama mkuranga na bagamoyo?
 
Hongera kwa kazi nzuri ya kutuelimisha,napenda kujua miti inayokuwa haraka kwa maeneo ya pwani na yenye bei nzuri,kwa mfano kama mti wa miaka saba unaweza kufikia bei gani.
 
Mitiki (Miaka 7 - 40)
Mfudufudu - Arborea (Miaka 4 - 15)
Mkesia (Miaka 4 - 25)
Mkoga ()
Mvinje (Miaka 4 - 25)
Zipo aina nyingi tu
Kwa wilaya ya Mkuranga binafsi nimepanda Mitiki na Mfudufudu (Arborea)
 
Kinachomata ni matumizi na ukubwa wa mti
Unachatakiwa kufanya ni kuangalia mti husika unaweza kutoa mbao ngapi km ni mti wa mbao na ukadirie bei yake. Kuna miti huweza kuzidi hata laki 2 au 3
Kuna sehemu watu wananunua hadi miembe kwa zaid ya laki nne kwa muembe mmoja

Size Matters
 
Nifurahi kukuta mada hii.Je Mtiki unaweza kustawi Kanda ya kati..DOM/ Singida?
 
Mitiki (Miaka 7 - 40)
Mfudufudu - Arborea (Miaka 4 - 15)
Mkesia (Miaka 4 - 25)
Mkoga ()
Mvinje (Miaka 4 - 25)
Zipo aina nyingi tu
Kwa wilaya ya Mkuranga binafsi nimepanda Mitiki na Mfudufudu (Arborea)
Macky asante sana boss wangu, nataka nipande mitiki msimu huu wa mvua
 
Back
Top Bottom