Baba Watoto
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 393
- 277
Sasa nimeelewa nitapanda miti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mikoa kama Iringa, Mbeya, Njombe ambayo inabaridi kali, lakini udongo wake kwa sehemu kubwa ni tifutifu haifai kupanda mitiki? Natanguliza shukrani kwa maelezo mazuri ya ufafanuzi
Ndugu Macky unaweza kushusha kwa ufupi gharama za kupanda miti hii na faida utakayopata ukivuna kwa heka moja
Mkuu asante sana. Ubarikiwe.Ekari moja ya shamba unaweza kupanda miti mia sita (500) mpaka mia saba (700). Gharama za kununua mashamba au maeneo ya kupandia miti hutegemea na eneo. Kwa sehemu nyingi za vijijini maeneo kwa ekari moja hayazidi laki 5.
Miche ya kununua mfano Mitiki huuzwa kuanzia elfu moja (1000) kwa mche mmoja
Gharama ya kununua miche = 1000 * 600 = 600,000
Pia unaweza kuokoa gharama za kununua miche kwa kuioteshe mwenyewe ktk vitalu na kuiamishia shambani baada ya kustawi vizuri na kuwa imara.
Mf. Mbegu za Mitiki huuzwa 12,500 tu kwa Kilogram moja (Kg1)
Kg1 inaweza kutoa zaidi ya miche mia tisa (900) ambayo unaweza kuipanda katika eneo la ekari moja na nusu.
Faida
- Ikiwa umefanikiwa kupanda miche 600 na bei ya kuuza mti mmoja ni elfu hamsini (bei ya mfano) = 600 * 50,000 = 30,000,000
"He who plants a tree, plants a hope." - Lucy Larcom
"The best time to plant a tree is twenty years ago. The second best time is now.” - Chinese Proverb
"The secret of getting ahead is getting started. " - Mark Twain
Tujifunze Kilimo Bora kwa Maendeleo Yetu: Uwekezaji wa Muda Mrefu - Kilimo cha Miti ya Mbao
Mkuu bei halisi ni ngapi ya mti mmoja wa mtiki?Ekari moja ya shamba unaweza kupanda miti mia sita (500) mpaka mia saba (700). Gharama za kununua mashamba au maeneo ya kupandia miti hutegemea na eneo. Kwa sehemu nyingi za vijijini maeneo kwa ekari moja hayazidi laki 5.
Miche ya kununua mfano Mitiki huuzwa kuanzia elfu moja (1000) kwa mche mmoja
Gharama ya kununua miche = 1000 * 600 = 600,000
Pia unaweza kuokoa gharama za kununua miche kwa kuioteshe mwenyewe ktk vitalu na kuiamishia shambani baada ya kustawi vizuri na kuwa imara.
Mf. Mbegu za Mitiki huuzwa 12,500 tu kwa Kilogram moja (Kg1)
Kg1 inaweza kutoa zaidi ya miche mia tisa (900) ambayo unaweza kuipanda katika eneo la ekari moja na nusu.
Faida
- Ikiwa umefanikiwa kupanda miche 600 na bei ya kuuza mti mmoja ni elfu hamsini (bei ya mfano) = 600 * 50,000 = 30,000,000
"He who plants a tree, plants a hope." - Lucy Larcom
"The best time to plant a tree is twenty years ago. The second best time is now.” - Chinese Proverb
"The secret of getting ahead is getting started. " - Mark Twain
Tujifunze Kilimo Bora kwa Maendeleo Yetu: Uwekezaji wa Muda Mrefu - Kilimo cha Miti ya Mbao
Zaidi ya 50,000, bei inapanda kulingana na umri wa mti na ukubwa wake pia. nitakuletea figure kamili muda si mrefuMkuu bei halisi ni ngapi ya mti mmoja wa mtiki?
Kulipa kwa mti kunategemea na matumizi na umri wake. Kwa ujumla mashamba ya miti yanalipa hata km ni mwarobaini.Mkuu miti gani inalipa zaidi kati ya mitiki, milingoti na pines?
inavunwa baada ya miaka 10 hadi 15, muone Malila yupo humu JF yeye ni mzoefu wa vitu hivyo. Kilimo cha miti kinalipa ila hakiitaji harakamikaratus inavumwa baada ya muda gani?
mkuu ni miti gani inalipa sana sehemu za pwani kama mkuranga na bagamoyo?Kulipa kwa mti kunategemea na matumizi na umri wake. Kwa ujumla mashamba ya miti yanalipa hata km ni mwarobaini.
Pia upandaji wa miti unategemea na sehemu uliyopo na sio ulipaji wake.
Hongera kwa kazi nzuri ya kutuelimisha,napenda kujua miti inayokuwa haraka kwa maeneo ya pwani na yenye bei nzuri,kwa mfano kama mti wa miaka saba unaweza kufikia bei gani.Kulipa kwa mti kunategemea na matumizi na umri wake. Kwa ujumla mashamba ya miti yanalipa hata km ni mwarobaini.
Pia upandaji wa miti unategemea na sehemu uliyopo na sio ulipaji wake.
Mitiki (Miaka 7 - 40)mkuu ni miti gani inalipa sana sehemu za pwani kama mkuranga na bagamoyo?
Kinachomata ni matumizi na ukubwa wa mtiHongera kwa kazi nzuri ya kutuelimisha,napenda kujua miti inayokuwa haraka kwa maeneo ya pwani na yenye bei nzuri,kwa mfano kama mti wa miaka saba unaweza kufikia bei gani.
Inastawi bila tatizo.Nifurahi kukuta mada hii.Je Mtiki unaweza kustawi Kanda ya kati..DOM/ Singida?
Macky asante sana boss wangu, nataka nipande mitiki msimu huu wa mvuaMitiki (Miaka 7 - 40)
Mfudufudu - Arborea (Miaka 4 - 15)
Mkesia (Miaka 4 - 25)
Mkoga ()
Mvinje (Miaka 4 - 25)
Zipo aina nyingi tu
Kwa wilaya ya Mkuranga binafsi nimepanda Mitiki na Mfudufudu (Arborea)