Macky
Member
- Mar 8, 2016
- 48
- 55
kina kinategemea na urefu wa mche wenyewe, ni vizuri nusu au robo tatu ya urefu wa mche uwe umefukiwaMkuu shimo nalopanda huo mche kina chake ni ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kina kinategemea na urefu wa mche wenyewe, ni vizuri nusu au robo tatu ya urefu wa mche uwe umefukiwaMkuu shimo nalopanda huo mche kina chake ni ngapi
Unaweza kuvuna kuanzia miaka saba (7) na kuendelea, pia sidhani km majani yake yanaweza kulika na mifugo.
Mimi nitakupa bei kwa kilo. Kg moja ya mtiki ni Tsh 6000/,sijui kama watakuwa wame-update,ila inatoa miche kati ya 1000 mpaka 1500. Miche ya mitiki inasumbua sana uotaji wake,unaweza ukawatika kilo nzima ukapata miche mia. Sasa inabidi ufuate maelekezo ya kitalaam sana.
Siwezi kukuhakikishia kama utapata au utakosa,ila pines/mlingoti nina hakika hakuna kabisa. Pine iliyopo ni ile ya kutoka Zimbabwe ambayo huuzwa Tsh 500,000/ kwa kilo kwa sababu huvunwa baada ya miaka nane.
Ukishindwa Morogoro,jaribu Lushoto na Kilombero. Kule kilombero ni private firm unaweza kupata kiasi hicho bila taabu.
Nimekupa yale ninayofahamu,akiwepo mwenye taarifa zaidi atupe.
Mkuu kisima habari yako, je hapo moro uko maeneo gani na vip bado unazo miche ya mitiki? kama unayo unauzaje kwa mche?Nipo Moro mkuu.
Salama mkuu!Mkuu kisima habari yako, je hapo moro uko maeneo gani na vip bado unazo miche ya mitiki? kama unayo unauzaje kwa mche?
OK BT Mimi napanda shimo hadi shimo mita 4 na upana mita 2 BT Leo nimetoka shamba kuna MTU amenishauri huo umbali ni mkubwa nijazie Miche katikati
Napata wapi hiki kijitabu mkuu??Sehemu nyingi inastawi.......ila zaidi kwenye mvua za kutosha, joto la wastani na udongo wenye kina kirefu. Mashamba makubwa ya Teak yapo Tanga (Longuza), Morogoro (Turiani, Ifakara etc). Kazi kwako.....ukipata kijitabu cha mbegu cha Tanzania Tree Seed Agency kimeorodhesha maeneo kwa ufasaha zaidi.
Mkuu salam. Umeongea kitu cha maana sana. Naomba unisaidie procedure za kupima udongo na kujua kama ninachotaka kupanda kinafaa kwenye huo udongo. Na jinsi ya kuchukua udongo na kwa hapa Dar maabara inayofaa iko wapi. Utakuwa umenisaidia sana kiongozi.Kitabu hicho kimeonyesha zone ambapo miti hiyo hulimwa.
Kwa hiyo hakitokusaidia kitu, cha muhimu Pima udongo wako kabla ya kupanda. Nakupa mfano kuna jamaa Mbezi ya Kimara anamepanda mitiki na imekubali Sana.
Ukirudi ktk kitabu hakuna sehemu ilioonyesha Kimara
Nina ekari 130 na lingine ni 60Shamba lako heka ngapi?
Ubarikiwe mkuuNakushauli gawanya Mara Saba Namaanisha chukua mchanga sehemu Saba. Kila sehemu chukua kilo Moja, kwatua kwa jembe. Peleka Sua.
Mimi Sua kila kifuko walinichaji laki Moja full ushauli.
Tatizo ni kuwa mbegu za TTSA hazieleweki. Hazioti vizuri kama vijitabu vyao vinavyosema. Nahitaji mwakani kupata mbegu za teak za kutoka nje kama Zimbabwe au South Africa. Kama una connection nao utanisaidiaNakutahadhali Kama unataka kupanda mitiki. Usipende kununua miche bora uweke kitaluchako ambacho utaiandaa mwenyewe tangu udogo, mtiki no vyema kupewa chanjo zote ikiwa ktk kitalu.
Ikifikia kupelekwa Shambani itastahimili shida zote