Kilimo cha Mitiki: Utaalamu na biashara yenyewe

Kilimo cha Mitiki: Utaalamu na biashara yenyewe

Nunua mbegu zako nitakuambia jinsi ya kufanya ziote na ni rahisi.
Je utaniruhusu kutoa somo japokuwa si mtaalam kwa faida ya wengine
Mkuu somo litatusaidia wengi. Mungu akupe busara ya kuliweka hilo somo hapa jukwaani
 
Naomba nianzie kwenye mbegu na kuwahakikishia mbegu za mitiki zinaota kwa urahisi kabisa.
Mimi nilinunua kilo Saba na nilifuata maelekezo kutoka ktk website Moja ya kilimo kutoka India.
Kama Ardhi yako inafaa kwa kupanda mitiki andaa yafuatayo kabla ya kuandaa kitalu.
1: Chukua mbegu zako ziloweke kwa masaa 12,namaanisha zilale usiku kucha, ikifika saa 4 asubuhi jua linapotoka zitoe kwenye zianike juani hadi jioni. Sio lzm zikauke ila ziwekwe ili zipate oxygen.
2: Jioni zirudishe tena kwenye Maji mapya mengine ziloweke kama ktk kipengere cha kwanza.
Rudia mfululizo huu kwa muda wa wiki tatu.
3: Itakapokaribia kuisha wiki ya tatu fanya yafuatayo
a) Chukua mchanga wa kujengea,nielewe vizuri kuna mchanga wa pasta na kujengea.
Sasa ukichukua huu mchanga ufanyie sterilization, mimi niliumwagia Maji kisha nikaunyunyizia deto.
Hatua hii inatakiwa ufanye ingali mchanga ukiwa juu ya mbao au sakafu.
Usambaze na uwekewe kingo ilimradi ukimwagia Maji ktk mchanga Maji yatapenya kwenye kingo bila kuondoka na udongo..
b)itakapo anza wiki ya NNE zimwage hizo mbegu ktk mchanga na zifukiwe na juu yake weka nyasi ambazo nazo utakuwa umezimwagia deto.
Utakuwa unamwagia asubuhi tu na baada ya wiki mbili mbegu zitaanza kuota. Nitaaendelea ngoja niqmbatanishe picha
 
Kabla mbegu hazijaota unatakiwa uchukue udongo ambao unarutuba unachanganya na Dawa yeyote ambayo inazibiti fungus. Fungicides.
Changanya vizuri na udongo kisha weka ktk vifuko .
Vifuko hivi viandalie sehemu nzuri ambayo kabla ya kuvipanga unanyunyuzia fungicides.
Mbegu zitakapoanza kuota huwa zinaanza na kitawi kimoja, kitakapochomoza kitawi cha pili amisha huo mche kwenda vkwenye vifuko kama picha mkuu atakapo ambatanisha.
Uhamishaji ufanyike alfajili mwisho saa nne asubuhi
 
1480343178122.jpg
1480343209240.jpg
1480343222120.jpg
 
Baada ya hapo inatakiwa miche itunzwe vizuri isimwagiwe Maji Sana.
Sasa la kuzingatia miche inapokuwa ktk kitaru,
Mche wa mtiki ukiwa unakwenda kupandwa sehemu yenye mvua finyu hutakiwa kutayalishwa bado ikiwa ktk kitalu ili kuhimili hali hiyo.
Kwa hiyo kuna virutubisho nilipewa kutoka ktk duka Moja nchini Kenya ambavyo mche hutanuka shina bila ya kuwa mrefu.
Miche hutakiwa kutunzwa sio chini ya miezi saba kabla ya kupelekwa Shambani
 
1480346582760.jpg
 
Kiufupi hizo dawa na virutubisho hukaa ktk miziz na shina na mche kwa ajili ya kuulinda endapo utahamishiwa shambani
 
Hiyo miche niliipanda mwezi wa 12 mwaka jana. Kwa hiyo ilikuwa na miezi 4 na nusu
 
Ngoja nimwambie akutumie.nimempa namba tayali sasa sijui ni kuna nini
 
Back
Top Bottom