Mkoa wa ruvuma sehemu gani mpunga unakubali kama mbarali?Kwa wadau wa kilimo hasa kilimo Cha mpunga Kwa mikoa ile maarufu Kwa uzarishaji wa mpungu ushindani umekua mkubwa , wakulima wamekua wengi na aridhi ndogo ivyo inapelekea mashamba kupatikana Kwa gharama mkubwa Kwa wale wanaokodisha
Kwa uzoefu nilio nao mfano mikoa wa Mbeya wilaya ya Mbalari kuna mashamba makubwa sana ya mpunga lakini kutokana na wakulima kuwa wengi inapelekea mashamba kupatikana Kwa bei kubwa sana ukilinganisha mikoa ambayo sio maarufu.
Mbalari mikoa Mbeya mashamba yanakodishwa laki nne hadi tano ambayo Kwa mikoa wa Tanga sehemu wanaita lunguza wanaokodisha erfu 70 hadi laki 1 na aridhi zuri aijatumika miaka mingi. Kuna mikoa kama iringa, songea, mikoa ya Kanda ya ziwa mpunga unakubari na uzarishaji ni nafuu sana, hoja yangu kuwa wewe unayetaka kulima na mtaji ni mdogo nenda sehemu ambazo azina ushindani mkubwa sana utatoboa kirahisi.
Labda wewe ndio umekaririKwa wadau wa kilimo hasa kilimo Cha mpunga Kwa mikoa ile maarufu Kwa uzarishaji wa mpungu ushindani umekua mkubwa , wakulima wamekua wengi na aridhi ndogo ivyo inapelekea mashamba kupatikana Kwa gharama mkubwa Kwa wale wanaokodisha
Kwa uzoefu nilio nao mfano mikoa wa Mbeya wilaya ya Mbalari kuna mashamba makubwa sana ya mpunga lakini kutokana na wakulima kuwa wengi inapelekea mashamba kupatikana Kwa bei kubwa sana ukilinganisha mikoa ambayo sio maarufu.
Mbalari mikoa Mbeya mashamba yanakodishwa laki nne hadi tano ambayo Kwa mikoa wa Tanga sehemu wanaita lunguza wanaokodisha erfu 70 hadi laki 1 na aridhi zuri aijatumika miaka mingi. Kuna mikoa kama iringa, songea, mikoa ya Kanda ya ziwa mpunga unakubari na uzarishaji ni nafuu sana, hoja yangu kuwa wewe unayetaka kulima na mtaji ni mdogo nenda sehemu ambazo azina ushindani mkubwa sana utatoboa kirahisi.
Hata Dodoma wilaya ya Bahi!Kwa wadau wa kilimo hasa kilimo Cha mpunga Kwa mikoa ile maarufu Kwa uzarishaji wa mpungu ushindani umekua mkubwa , wakulima wamekua wengi na aridhi ndogo ivyo inapelekea mashamba kupatikana Kwa gharama mkubwa Kwa wale wanaokodisha
Kwa uzoefu nilio nao mfano mikoa wa Mbeya wilaya ya Mbalari kuna mashamba makubwa sana ya mpunga lakini kutokana na wakulima kuwa wengi inapelekea mashamba kupatikana Kwa bei kubwa sana ukilinganisha mikoa ambayo sio maarufu.
Mbalari mikoa Mbeya mashamba yanakodishwa laki nne hadi tano ambayo Kwa mikoa wa Tanga sehemu wanaita lunguza wanaokodisha erfu 70 hadi laki 1 na aridhi zuri aijatumika miaka mingi. Kuna mikoa kama iringa, songea, mikoa ya Kanda ya ziwa mpunga unakubari na uzarishaji ni nafuu sana, hoja yangu kuwa wewe unayetaka kulima na mtaji ni mdogo nenda sehemu ambazo azina ushindani mkubwa sana utatoboa kirahisi.
Dodoma wanalima Mkuu, wilaya ya BahiMpunga unalimwa almost mikoa yote Tanzania isipokuwa Arusha, Manyara, Dodoma, Singida na Kilimanjaro. Nazungumzia at least medium scale.
Mikoa yote niliyoitaja inalima ila kwa scale ndogo sana kama ilivyo Bahi. Manyara kwa mfano najua pale Magugu wanalima but little; Kilimanjaro kule Mabogini - TPC vivyo hivyo Arusha maeneo ya Usa River, n.k.Dodoma wanalima Mkuu, wilaya ya Bahi
Si kweli Kilimanjaro mimi nimeshuhudia wana skimu za mashamba zaidi ya mia tano mpunga unalimwa sana labda sio Kilimanjaro ya Tanzania.. Arusha mpunga unalimwa .. Manyara mpunga unalimwa ..Mpunga unalimwa almost mikoa yote Tanzania isipokuwa Arusha, Manyara, Dodoma, Singida na Kilimanjaro. Nazungumzia at least medium scale.
Uko sahihi ila mikoa niliyoitaja ni kwa scale ndogo sana kulinganisha na mikoa mingine.Si kweli Kilimanjaro mimi nimeshuhudia wana skimu za mashamba zaidi ya mia tano mpunga unalimwa sana labda sio Kilimanjaro ya Tanzania.. Arusha mpunga unalimwa .. Manyara mpunga unalimwa ..
hapa kapungaKwa wadau wa kilimo hasa kilimo Cha mpunga Kwa mikoa ile maarufu Kwa uzarishaji wa mpungu ushindani umekua mkubwa , wakulima wamekua wengi na aridhi ndogo ivyo inapelekea mashamba kupatikana Kwa gharama mkubwa Kwa wale wanaokodisha
Kwa uzoefu nilio nao mfano mikoa wa Mbeya wilaya ya Mbalari kuna mashamba makubwa sana ya mpunga lakini kutokana na wakulima kuwa wengi inapelekea mashamba kupatikana Kwa bei kubwa sana ukilinganisha mikoa ambayo sio maarufu.
Mbalari mikoa Mbeya mashamba yanakodishwa laki nne hadi tano ambayo Kwa mikoa wa Tanga sehemu wanaita lunguza wanaokodisha erfu 70 hadi laki 1 na aridhi zuri aijatumika miaka mingi. Kuna mikoa kama iringa, songea, mikoa ya Kanda ya ziwa mpunga unakubari na uzarishaji ni nafuu sana, hoja yangu kuwa wewe unayetaka kulima na mtaji ni mdogo nenda sehemu ambazo azina ushindani mkubwa sana utatoboa kirahisi.
manyara wanalima pale magugu'kilimanjaro wanalima kule ndungu same.dodoma wanalima pale bahi.singida manyoni na itigiMpunga unalimwa almost mikoa yote Tanzania isipokuwa Arusha, Manyara, Dodoma, Singida na Kilimanjaro. Nazungumzia at least medium scale.
Very little! Chakula cha wakulima na familia zao sio wa kupelekwa sokoni.manyara wanalima pale magugu'kilimanjaro wanalima kule ndungu same.dodoma wanalima pale bahi.singida manyoni na itigi
ni kweli huwezi linganisha na usangu kule mbarali mbeyaVery little! Chakula cha wakulima na familia zao sio wa kupelekwa sokoni.
lakini msimu hali ilikua balaa ukameMbarali ni large scale mzee, Wana highland Estates na Kapunga. Huku hawategemei mvua ni umwagiliaji ingawa ni gharama Sana kilimo cha kisasa.
Hata apo kapunga au pale ubaruku mbarali mashamba nigharama sana kukodisha hasa yalio chini ya wawekezaji na gharama ya kuzalisha ipo juu sana kila mtu anataka kulima na wageni ni wengi wanamwaga pesa zao ndio inaleta ushindani bei zinakua juuhapa kapunga